ACT-Wazalendo yatoa masharti Uchaguzi Mdogo Konde

Sijakimbia nimeamua kutolijibu swali lako,ktk taasis yoyote kubwa km cdm kuna malengo ambayo yanajadiliwa kwenye vikao tu vya waandamiz lkn pia kuna malengo ambayo huwa yanatolewa nje km malengo ya taasis.
Ungetaja tu hayo malengo mengine ya wanaopush agenda ya katiba ingetosha badala ya kuzungukazunguka.

Tunapotezeana muda kujadili mambo mengine ya msingi
 
Very good idea mkuu... I second this
Nafikiri tutafakari upya mbinu zetu za lobbying na kupanua wigo wa kampeni.

Social media tusiishie kwenye hashtags alone tuende beyond hashtags tuandae articles mbalimbali.

Hashtags zetu badala ya kubeba hash content ya "katiba mpya ni lazima" zibadilishwe zibebe an appealing language na ikiwezekana hashtags ziwe zinagusa educating messages.

Makongamano yamekatazwa lakini tutumie every opportunity walipo mikusanyiko wa watu bar, harusini kwenye ukweli za bahari, kwenye mabasi everywhere.
 
Othman masoud othman, shikamoo za siku
bila wewe kutaka kuchomoa betri sidhani zito angeingiziwa mpunga kwenye akaunti yangetokea hayo..

Othmani masoud othman shikamoo
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Jamaa namheshimu sana huyu anasimamia kile anachokiamini bila kuyumba yumba hata kama akitishwa.

nakwambia alikua anarudi masomoni ujeruman alikokua anapiga shule, anasema hayuko tayari kupigiwa ving'ola Ali hali watu wanaumizwa na taratibu hazifatwi kabisa walizojiwekea,
Natamani tundu Lisu arudi haraka baada ya kumalizia kazi yake huko aliko, nchi hii Tz bila hawa watu wawili Ccm itaendelea kutusumbua sana nakutuchelewesha mana hawataki kukubali
 
Anafanyiwa operesheni nyingine ya 27 (nadhani August 27th) tangu ashambuliwe na wasiojulikana waliotumwa na dhalimu mwendazake.
nakwambia alikua anarudi masomoni ujeruman alikokua anapiga shule, anasema hayuko tayari kupigiwa ving'ola Ali hali watu wanaumizwa na taratibu hazifatwi kabisa walizojiwekea,
Natamani tundu Lisu arudi haraka baada ya kumalizia kazi yake huko aliko, nchi hii Tz bila hawa watu wawili Ccm itaendelea kutusumbua sana nakutuchelewesha mana hawataki kukubali
 
Naam Mkuu yule dhalimu mwendazake alijua unyama wake dhidi ya Lissu ungefanikiwa hivyo alikuwa ameshapanga na mazishi ya Lissu haraka haraka kule Singida.

na hua hapangiwi anapanga
 
Back
Top Bottom