ACT Wazalendo yakataa kushiriki Kikao cha Msajili

Hawa ATC Wazalendo waliambiwa tangu mwanzo hiki kikao ni cha kupumbavu lakini Zitto akawa anasisitiza kuwa watashiriki. Hata hizo sababu mbili za kwanza walizotoa hazina mantiki yoyote. Sababu ya mwisho ndiyo mzizi wa kila kitu. i.e. kushiriki hicho kikao ni ujinga uliopitiliza.
Tusimhukumu sana ndugu Zito. Inawezekana alikuubali bila tafakur baada ya tafakur ndo wamekuja na hilo wazi la pamoja kama chama. Tukumbuke Zito siyo mwanasheria kama lisu.
 
Back
Top Bottom