ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

Kiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Ndugu Zitto Kabwe leo anatarajiwa kumpokea Mbunge Moses Machali ktk Chama cha ACT-WAZALENDO. Machali anapokelewa na Wanachama wapya kutoka NCCR-MAGEUZI wanachama 798 na Viongozi wote wa Kata wa Jimbo la Kasulu Mjini.Machali anapokelewa na Kiongozi wa ACT-WAZALENDO Zitto Kabwe ktk Mkutano wa Hadhara unafanyika Viwanja vya Kiganamo leo.
Tutawaletea kinachojiri ktk Mkutano Huu

Kazi kweli kweli. Huyo machali anapokelewa mara ngapi au kila siku atakua akipokewa?
 
Anapokelewa mara ya ngapi ?kura za maoni za ubunge huko ACT alishiriki bila kupokelewa?
 
Machari angetulia angefika mbali.kwenda act kajimaliza kisiasa.mwenzie ayatulah ni mpiga dili.pole machali tutakumiss bunge lijalo coz hautakuwepo
 
Ukiwa nje ya uislam unaitwa ------, ukisilimu unapokelewa!
Ukiwa nje ya ukristo unaitwa wa mataifa, ukiokoka unaitwa mpendwa!!!!
Machali ACT, lembeli cdm, etc ktk siasa hakuna jipya
Na bado tutaona mengi
 
Yametimia....
 

Attachments

  • 1437494585948.jpg
    1437494585948.jpg
    43 KB · Views: 6,639
  • 1437494601507.jpg
    1437494601507.jpg
    35.2 KB · Views: 6,077
  • 1437494623747.jpg
    1437494623747.jpg
    25.8 KB · Views: 2,228
  • 1437494640997.jpg
    1437494640997.jpg
    34.2 KB · Views: 2,164
  • 1437494656217.jpg
    1437494656217.jpg
    35.2 KB · Views: 2,042
  • 1437494676567.jpg
    1437494676567.jpg
    31.4 KB · Views: 2,126
Back
Top Bottom