ACT Wazalendo wachanja mbuga ughaibuni

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
607
1,540
Viongozi wa ACT Wazalendo (Kiongozi wa Chama Ndugu Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Fedha Ndugu Nassor Mazrui) wanaendelea na ziara ya ughaibuni kwa ajili ya kusikiliza maoni ya Watanzania wanaoishi ughaibuni (Diaspora). Program hiyo ya "Listening Tour" yenye kaulimbiu "We Are Listening" inalenga kupata maoni ya wananchi kwa ajili ya kutengeneza Ilani ya Uchaguzi 2020. Tarehe 02 Februari 2020, viongozi hao watakuwa Jijini Toronto Canada.

IMG_20200130_103429.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatafuta maoni kwa wanaoishi vizuri anawaacha wananchi wake wa kigoma.... Kama sio uchawi ni nini
 
Listening tour anafanya Uingereza halafu wakati huo huo anahakikksha watoto wa Kigoma wasipate mkopo wa elimu kutoka benki ya dunia
 
Listening tour anafanya Uingereza halafu wakati huo huo anahakikksha watoto wa Kigoma wasipate mkopo wa elimu kutoka benki ya dunia
 
Viongozi wa ACT Wazalendo (Kiongozi wa Chama Ndugu Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Fedha Ndugu Nassor Mazrui) wanaendelea na ziara ya ughaibuni kwa ajili ya kusikiliza maoni ya Watanzania wanaoishi ughaibuni (Diaspora). Program hiyo ya "Listening Tour" yenye kaulimbiu "We Are Listening" inalenga kupata maoni ya wananchi kwa ajili ya kutengeneza Ilani ya Uchaguzi 2020. Tarehe 02 Februari 2020, viongozi hao watakuwa Jijini Toronto Canada.

View attachment 1340642

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo watagombea urahisi na ubongo huko
 
Zitto ni mtoto wa mjini. Meko alitaka kukopa fedha kupitia serikali halafu zikatumike kuhonga wale mambumbumbu wenu wa CCM kipindi cha mchakato wa uchaguzi mkuu 2020.

Back
Top Bottom