ACT-Wazalendo njama za kuharibu mikutano yao Singida

chama kinaenezwa barabara kuu,, Tz kubwa hii jaman.... chama kinachotaraj kukopeshwa mgombea urais.... mkuu wa chama kazana. .!
 
ACT--Acheni ujinga wenu wa kila siku, mlianza kutwambia hivi hivi kutoka songea, iringa, njombe, morogoro lakini hatujaona hizo fujo, kama ni siasa fanyeni za kistaarabu acheni kila siku kujistukia na kutuletea hapa taarifa za kijinga-jinga...
 
Hii story ya ukibaraka naona inachuja sana. Huku mtaani hawaoni hivyo. Hapa stendi wanasema tofauti kabisa Aisee. Mie nashauri itafutwe santuri nyingine. Ushauri tu.

ili tumuelewe akjanushe taarifa za kula mpunga kuia cdm.
 
Vibaraka wa CCM wao ajenda yao ni kupambana na Chadema na Ukawa tu.

Mfalme wa ACT sasa anafanya umachinga wa kisiasa wa kuuza kadi kwenye mabasi.Na bado huo ni mwanzo tu.

Kwa hio kuna cdm na ukawa
Act aina mda wa kufatilia ya cdm tukishambulia nasi tutajibu tu na ndio sera tumejipangia vijana wa chama
 
Taarifa zimezagaa Mjini Singida kuwa mahasimu wakubwa wa chama kipya cha ACT-Wazalendo wameandaa kamchezo kachafu kakufanya fujo katika mikutano yao leo Singida. Mikutano hiyo inaanzia Manyoni. Red Brigade moja 'aliyaasi amewatonya viongozi wa ACT-Wazalendo Mkoa wa Singida kuwa kuna Re Brigade kutoka Dar na Singida wameandaliwa kufanya fujo katika mikutano ya Singida na Mwanza.

Hata hivyo Mwenyekiti wa Vijana wa ACT-Wazalendo Mkoa wa Singida amewaambia waandishi wa habari jana jioni kwamba wamejiandaa vizuri kukabiliana na kikundi cha wahuni wa Red Brigade. Mwenyekiti huyo akasema lengo la wahafidhina kutaka kuharibu mikutano ya Singida ni kujaribu kuonyesha kuwa Mwenyekiti wa Taifa Anna Mgwira na Prof Kitila Mkumbo hawakubaliki kwao.

Akasema kuwa wenzao wa Mwanza pia wamejiandaa vya kutosha katika kuwadhibiti wahuni wowote wanaojipanga kuharibu mikutano yao.

Haya yanakuja baada ya juhudi kama hizi kushindikana katika Mikoa ya Njombe na Iringa, inayodaiwa kuwa ngome ya Chadema.

Ngoja tuendelee kusikilizia hapa, tutawaletea taarifa kamili kadri muda unavyoenda. Lakini kuna shamrashamra ya kutosha sana hapa Mjini Singida katika kusubiri mkutano wa leo wa ACT-Wazalendo.
Mnatafuta umaarufu sana act mnafikiri sera za ujaaa zinafaa karne hiii
 
Jamani nani ahangaike na chama cha kwenye PICK UP chama kisicho na network yeyote ya uongozi ukimtoa Zitto na Kitila hakuna chama hapo, wakimaliza mkutano wanapakia viti meza na mahema kwenye pick up wanahamia mkoa mwingine huku nyuma hawaachi trace yeyote.

Kipaumbele cha Chadema kitaifa sasa ni kuhakikisha wananchi wanajiandikisha tayari kwa oktoba, masuala ya mikutano yako chini ya viongozi wa Kanda, kama Zitto anataka kupimana ubavu wa kujaza mikutano Mwanza ataukuta moto wa kamanda Alphonce Maneno na op Tigitigi na huko Musoma atakutana na kamanda Vincent Nyerere.
 
nipo singida tafadhali unaweza kunitajia hizo shamrashamra za kuwasubiri ACT zinafanyikia wapi?acha kudanganya umma
 
Usaliti hauchuji ni kama kula nyama ya mtu.Ukuwadi wa kisiasa ni ushetani.

Wanasiasa wasio na uwezo hutafuta uhalali wa kisiasa kwa uongo, kashfa na propaganda maana wanajua hawana uwezo wa kusimama kwenye hoja na hawana cha kuonyesha kwa wanancgi.

ACT haitafanya siasa hizi za wanasiasa dhaifu, ACT inasimama wakati wote kwenye hoja zinazomkomboa mnyonge wa nchi hii, zinazorufdisha uzalendo uliofifia na kurudisha matumaini ya wanyonge wa nchi hii katika usimamizi wa taifa lao.

ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI
 
Kwahiyo na Slaa usaliti aloufanya dhidi ya Kanisa katoliki hautochuja kamwe.Nibora kusaliti chama kuliko kumsaliti mungu,na kwa mantiki hiyo Slaa hawezi kuwa Rais wa Nchi hii kamwe!
Usaliti hauchuji ni kama kula nyama ya mtu.Ukuwadi wa kisiasa ni ushetani.
 
Swali LA msingi hilo lijibiwe na nyie wachagadema... Nan ana dhambi kubwa ya usaliti? Kama kasaliti taaluma yke ya kiroho naamin akipewa nchi atauza kwa bei nafuu huyo babu wenu
 
Jamani nani ahangaike na chama cha kwenye PICK UP chama kisicho na network yeyote ya uongozi ukimtoa Zitto na Kitila hakuna chama hapo, wakimaliza mkutano wanapakia viti meza na mahema kwenye pick up wanahamia mkoa mwingine huku nyuma hawaachi trace yeyote.
Hahahahahaaaaa chdama cha kwenye pick up ina maana hakijai hata pickup dah! watu mna vijembe.
 
Halafu vijitu vyenyewe vilivyoandaliwa kufanya vurugu malipo Yao wamenyeshwa viroba tu.Kweli Chadomo wanaua nguvu kazi ya nchi.Mungu atuepushe na huyu Shetani Chadema.
 
ACT baada ya kueneza sera zenu mnajifanya wapinzani wa CHADEMA, kwa staili hii hamtafika.

Nahis hii ngoma inapigwa na MACCM na nyinyi mnaicheza bila kuskiliza hata kufikir. Sinashaka mkiendelea hivi mtafia njian.
Hiki chama cha Zito hakina sera ya kusimama chenyewe. Kinahaha kutafuta huruma ya baadhi ya Wa-Danganyika kwamba eti CHADEMA kinawaandalia fujo kwenye mikutano yao. Watu wanaokuja kuwasikiliza wanataraji muwaambie madhumuni yenu na sera zenu ni zipi na siyo kuwachezea santuri za SISIEM against CHADEMA. Hizo maneno wamezisikia sana kutoka SISIEM na nyie kichwa kichwa mnazichukua na kuzihamishia kwenu. You think you will survive longer?
 
Kulichowakuta njombe na makambako Ni siri ya act,maana niliwapiga beat act wasiiguse cdm kwenye mkutano wao,niliwaambia mkiigusa Tu cdm mkutano wao hautaisha salama,waliufyata na walipojaribu kuleta vimafumbo vya kitoto waliuona Moto WA wananchi.hiki kikundi cha act kinanguvu mitandaoni lkn huku walikopita Ni kama yatima na hawajui wanafanya nini kwenye ziara Yao.
Mnajisifu kwa kufanya fujo, watanzania tunasikiliza sera za mtu yoyote na sio lazima wote tusapoti cdm!Anayeeleweka vema ndio tunamchagua, hakuna mwenye hati miliki ya hii nchi au ya upinzania au chama tawala
 
Sera znatolewa, na wananchi wanasikiliza...mnachifanya cdm ni wivu tu mlidhan mtakua mmeficha zzk kisiasa?
 
Vibaraka wa CCM wao ajenda yao ni kupambana na Chadema na Ukawa tu.

Mfalme wa ACT sasa anafanya umachinga wa kisiasa wa kuuza kadi kwenye mabasi.Na bado huo ni mwanzo tu.

Utaelewatu hii ndo team wazalendo Hatajuu ya Mbuyu kad zinatolewa
 
Back
Top Bottom