mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,583
- 11,659
Hivi kuna Tanzania bara? Na wewe ni Mwanahabari tena wazamani kama ulivyosema pale star tv.Naunga mkono hoja.
Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania ni ACT Wazalendo, kwasababu kina wabunge Bara na Visiwani, pia kina wawakilishi ndani ya Baraza la Wawakilishi.
Chama Kikuu cha Upinzani, Tanzania Bara ni Chadema. Kina mbunge mmoja bara, hakina mbunge Zanzibar wala mwakilishi.
Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar ni ACT Wazalendo, kina wabunge na wawakilishi.
Ili Upinzani ufanikiwe lazima wapinzani washirikiane.
Baada ya Upinzani kushinda Zambia, najua kuna Watanzania wengi na haswa wapinzani na wapenda mabadiliko, watafurahia matokeo ya Zambia kwa imani na matumaini kuwa hiki kilichotokea Zambia, "if it can happen in Zambia, then one day it can also happen in Tanzania". Hivyo na Tanzania kuna siku Upinzani utashinda, uchaguzi, kutangazwa na kuongoza nchi. Naomba niwaandae kisaikolojia, "Zambia is Zambia na Tanzania ni Tanzania" Kwa Tanzania, sisi bado sana, maana ni kama hatuna any serious opposition ya kuikabidhi ikulu yetu, hivyo CCM itatawala mile...!, naomba nisimalizie- Pasco.
P
Acheni kutengeneza historia yetu bwana nchi ni mbili moja Zanzibar na nchi nyingine ni Tanganyika.