Uchaguzi 2020 ACT Wazalendo: Mgombea Ubunge wetu jimbo la Ruangwa avamiwa na kutekwa akiwa nyumbani kwake. Apatikana akiwa ametupwa porini Mkuranga

Haya sasa;

Nimeipata hii huko mtandaoni



Huyu maelezo yake hayajanyooka, yanajichanganya sana.

Pia tukio la utekaji limemkuta pia mgombea wa ACT siyo kiongozi wa CHADEMA tu huko Ruangwa.

Mgombea wa ACT kapigwa, kaumizwa kwelikweli!

Inaonyesha kuna uhuni unafanywa huko Ruangwa ili waziri mkuu apite bila kupingwa!
 
Back
Top Bottom