ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

Nimefuatilia na kuziangalia picha ambazo Mh. Membe - Mgombea urais kupitia ACT amepigwa akiwa JNIA zinaleta maswali mengi kuliko majbiu.
1. Nani alimpiga hizo picha?
2. Kwa nini apigwe picha bila hata ridhaa yake?
3. Kwa nini ziwekwe kwenye mitandao ya kijamii na wengine hasa viongozi wa kisiasa kuzitolea matamko?

Ni kweli watu hupiga picha wakiwa Airport lakini ukiangalia makini na hasa picha ya pili, inaonesha kabisa ni CCTV camera ya Airport ndiyo ilitumika.
Sasa swali nani aliruhusu zitoke/downloaded kutoka harddisk au server ya Security System ya Airport na kwa minajili gani?
Huyo aliyeruhusu zitoke sio mtu mdogo lazima atakuwa na mamlaka pale Uwanjani, je hili si kosa kisheria?

Kuna jambo hapo la kufikirika hapo!
View attachment 1566302

View attachment 1566303

Na mm Nashangaa shida ni nn, kwamba ukiwa mgombea wa urais unakuwa huna mamlaka ya kusafiri Inje ya inchi au ni nn?

What if anaenda Leo na kurudi J2 na j3 akaendelea na majukumu yake
 
Umewaza mbali sn... Maswali yako yanahitaji majibu.....

Lkn ukizingatia alivolimaliza swala lake la kudukuliwa mawasiliano bila kuchukua hatua zozote za kisheria sioni bwana yule akihangaika na hizi picha.....
Labda ndo ukachero wenyewe wapo kazini wanajaribu kudivert attention ya watu🙄🙄
 
Bila kupinga maelezo yako mazuri, mimi kama mimi sitaki hata Membe amuunge mkono Lisu, maana hata asipomuunga mkono bado Lisu na support ya kweli ya wapinzani. Huyo Membe ni mwanaccm leo hadi kesho, na ataingia kaburini akiwa mwanaccm.Sana sana akimsupport Lisu atalazimisha kuingia kwenye vikao vya mikakati vya cdm, kisha akirudi ccm anakuwa na siri kama kina Lowassa na Sumaye.

Tusikubali kabisa Membe kumuunga mkono Lisu ni hatari kubwa. Huko ACT mpinzani wa kweli ni Maalim Seif na Wapemba wenzake. Lakini hawa wakina Zito ni kukaa nao kwa akili.

Usijidanganye, Membe ana uwezo wa kugawa kura kama ACT ikiamua kupiga kampeni kwelikweli.

Membe alichokifanya so far ni kutofanya kampeni kwenye mikoa aliyokwenda Lissu
 
Na mm Nashangaa shida ni nn, kwamba ukiwa mgombea wa urais unakuwa huna mamlaka ya kusafiri Inje ya inchi au ni nn?

What if anaenda Leo na kurudi J2 na j3 akaendelea na majukumu yake
Hahahaaaa...... Tena alishasema kampeni anaanza 15/09//2020
 
Nimefuatilia na kuziangalia picha ambazo Mh. Membe - Mgombea urais kupitia ACT amepigwa akiwa JNIA zinaleta maswali mengi kuliko majbiu.
1. Nani alimpiga hizo picha?
2. Kwa nini apigwe picha bila hata ridhaa yake?
3. Kwa nini ziwekwe kwenye mitandao ya kijamii na wengine hasa viongozi wa kisiasa kuzitolea matamko?

Ni kweli watu hupiga picha wakiwa Airport lakini ukiangalia makini na hasa picha ya pili, inaonesha kabisa ni CCTV camera ya Airport ndiyo ilitumika.
Sasa swali nani aliruhusu zitoke/downloaded kutoka harddisk au server ya Security System ya Airport na kwa minajili gani?
Huyo aliyeruhusu zitoke sio mtu mdogo lazima atakuwa na mamlaka pale Uwanjani, je hili si kosa kisheria?

Kuna jambo hapo la kufikirika hapo!
View attachment 1566302

View attachment 1566303
Wadukuzi kazini lakini nyuma yao kuna sauti kubwa zaidi isiyosikika
 
Na mm Nashangaa shida ni nn, kwamba ukiwa mgombea wa urais unakuwa huna mamlaka ya kusafiri Inje ya inchi au ni nn?

What if anaenda Leo na kurudi J2 na j3 akaendelea na majukumu yake
Na je kwani hawezi kusafiri internally?
 
Simu hizo mkuu .watakuwa abiria hao.Simu zimebadili kila kitu

Ile picha ya pili HAPANA NAKATAA, sidhani kama ni simu ya kwaida. Tazama kwa umakini Camera iko kwa juu na mheshimiwa anatembea kwa chini akiwa ameinua kichwa. Sidhani kama alijua kwamba anapigwa picha.
 
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni? Kuna nini kinaendelea?

Public figure kwani kwenye kampeni wanaombwa kupigwa picha?
 
Kuonekana kwa mgombea urais wa JMT mh Membe JNIA akikwea pipa kuelekea kusikojulikana kumezua sintofahamu ikiwemo furaha kubwa kwa makamanda wa Chadema na makada wa CCM.

Hadi sasa ACT wazalendo hawajatoa taarifa yoyote kuhusu taarifa za safari ya Membe zilizoenea mitandaoni.

Ndio najiuliza Membe kamkimbia nani mbona CCM na Chadema wote wanashangilia.

Maendeleo hayana vyama!
Ccm wanashangilia lengo lao limetimia kwa MTU wao
 
Nyie subirini tu mtaona mambo ccm lazima ipigwe kila kona.
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni? Kuna nini kinaendelea?

Ndiyo Maana CHADEMA iligoma Kuungana Na ACT
Membe Haaminiki
Watanzania kaeni chonjo.
Kuna mawili:Membe atakuwa kamuunga mkono Lissu au kashindwa kuelewana na wenzake katika swala la kumuunga mkono Lissu iwapo kweli hakuwa tayari kufanya hivyo kama alivyosikika hivi karibuni, na sasa kaamua kuendelea na issue zake zingine.

Lakini,huenda kapata dharura hivyo tusimuhukumu moja kwa moja bali tujipe muda ingawa dharura hiyo haipaswi kufanywa siri kama kweli kapata dharura.
Ngoja tusubiri kauli ya "kiongozi mkuu" zzk
Japokuwa ana hali ngumu kisiasa kupambana na Ccm. Lakini ni vyema ukathibitisha kama hizi picha ni za leo au jana.
 
Kweli hapo panafikirisha

Picha kama ni za CCTV zimetokaje na kwanini. Afu kiongozi wa chama anazitafsir picha , kwa maana ni dhahiri walilipanga hili.

Nawapongeza mliofanikisha kuikwepa hii plan B ya hasimu
 
Hivi kuunga mkono kunasababishwa na muungaji au muungwaji ?

Kama mtu anasema ninakubaliana na wewe na uchofanya wewe utasema hapana haukubaliani au sikubaliani na wewe ?

Kama hakuna Quid Pro Qou who cares? Tatizo hizi siasa watu wanazifanya kama imani ya Dini au Ushabiki wa mpira ambao no matter what nyekundu haiwezi kuwa njano....

Hoja yako ni nini hapa boss?
 
Jasusi mbobezi....
Lkn Lissu alisema yy sio mjinga na chama chake sio wajinga..... Nilimwelewa sana....

Kimsingi act mpinzani wa kweli ni Maalim Seif tu...... Hao wengine wana ndimi mbili mbili
Hata Maalim Seif kaingia cha kike... ungekuta yupo CHADEMA mambo yangekuwa tofauti sana.. sasa imagine Membe angetakiwa sasahivi ampiganie Seif kule Zanzibar,lakini ndo huyo amesepa zake
 
Siku zote nasema kwa mwerevu kuwaunga mkono na kuwasikiliza wenzetu wa vyama vya upinzani Tanzania siyo jambo rahisi huwa hamnielewi. Basi endeleeni kushabikia japo naelewa kwamba hatuwezi wote kuwa werevu lazima na wale wengine wa upande wa pili wawepo kwenye jamii.
ACT ndo sio wapinzani..
 
Ile picha ya pili HAPANA NAKATAA, sidhani kama ni simu ya kwaida. Tazama kwa umakini Camera iko kwa juu na mheshimiwa anatembea kwa chini akiwa ameinua kichwa. Sidhani kama alijua kwamba anapigwa picha.
Kampiga mtu aliye hii kwenye ngazi ingine kapigwa na aliye nyuma yake
 
Usijidanganye, Membe ana uwezo wa kugawa kura kama ACT ikiamua kupiga kampeni kwelikweli.

Membe alichokifanya so far ni kutofanya kampeni kwenye mikoa aliyokwenda Lissu

Mkuu hakatazwi, kwani atagawa za wapinzani tu, au yeye uwezo wake ni kupata kura za wapinzani tu, ila za ccm hawezi kuzigawa? Ni hivi, hana mvuto kwa wapiga kura, na hilo halikuanza sasa ila ni toka akiwa ccm. Hao ndio wale wanaccm walikuwa wanapitishwa kwa mizengwe. Ni kweli anaweza kugawa kura za wapinzani, ila ni kwa mikoa hiyo michache ya kusini.
 
Atakuwa ameshindwa kuelewana na Zitto
Zitto alimuonea mama Mgwira
Lakini kwa Membe hao ni mafahali wawili hawakai zizi moja
 
Back
Top Bottom