ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

Ukiwa uwanja wa ndege kuna sehemu mbili, wale wa safari za ndani na safari za nje huwa hawachangamani.
Hivyo ni rahisi kutambua kuwa abiria ana safari ya ndani ya nchi au nje ya nchi
Uko sahihi
 
JNIA huwa ni kwa wanaoenda nje tuu?
Na wanaonda Zenji watapitia wapi??


Anyway anaenda Uk alaf atasema afya haimruhusu alafu kura zake apewe lissu
Mkuu kwani hapo uwanjani, si unaweza ukaona tu ukajua huyu anasafiri nje ya nchi au ndani? Kulingana na eneo ambalo muhusika anapitia?
 
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni ? Kuna nini kinaendelea ?


Kwani haruhusiwi kusafiri? mbona jambo la kawaida sana hilo
 
Kuna mawili:Membe atakuwa kamuunga mkono Lissu au kashindwa kuelewana na wenzake katika swala la kumuunga mkono Lissu iwapo kweli hakuwa tayari kufanya hivyo kama alivyosikika hivi karibuni, na sasa kaamua kuendelea na issue zake zingine.

Lakini,huenda kapata dharura hivyo tusimuhukumu moja kwa moja bali tujipe muda ingawa dharura hiyo haipaswi kufanywa siri kama kweli kapata dharura.
Kuna mahala nimemsikia akijiapiza kwamba hatajitoa ng'o, yeye ni mbele kwa mbele...
 
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni? Kuna nini kinaendelea?

Huo uwanja ni sehemu ya "maendeleo ya vitu"!
 
Acha kujiaibisha, wanaokwenda Zanzibar wanatumia Terminal 1. Hapo alipopigiwa picha ni pa kwenda ughaibuni.

Mambo mengine waachieni wanao panda ndege.
Membe ni mjanja mjanja sana tumpe muda! Amesha tibua ana acha vumbi Kali 😂
 
Bila kupinga maelezo yako mazuri, mimi kama mimi sitaki hata Membe amuunge mkono Lisu, maana hata asipomuunga mkono bado Lisu na support ya kweli ya wapinzani. Huyo Membe ni mwanaccm leo hadi kesho, na ataingia kaburini akiwa mwanaccm.Sana sana akimsupport Lisu atalazimisha kuingia kwenye vikao vya mikakati vya cdm, kisha akirudi ccm anakuwa na siri kama kina Lowassa na Sumaye.

Tusikubali kabisa Membe kumuunga mkono Lisu ni hatari kubwa. Huko ACT mpinzani wa kweli ni Maalim Seif na Wapemba wenzake. Lakini hawa wakina Zito ni kukaa nao kwa akili.
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom