Zanzibar 2020 ACT Wazalendo: Ismail Jussa apigwa vibaya na vikosi vya usalama Zanzibar na sasa yuko hospitali ya Makao Makuu Polisi Zanzibar

Nimesikia hii pia, hii laana itamtafuna Magufuli na GENGE lake milele. Mungu ni wetu sote.
Kwanini isikutafune wewe? Sheria zipo duniani pote sio Tanzania tu, waswahili walisema ''Mwenye nguvu mpishe.''
 
Tuliwaonya msijaribu mtakiona cha moto mkajifanya nyie ni miamba kiko wapi sasa? Members walitoa kebehi hapa kiko wapi? Mkong'oto upo pale pale.
 
Kwanini isikutafune wewe? Sheria zipo duniani pote sio Tanzania tu, waswahili walisema ''Mwenye nguvu mpishe.''
Sheria zipi hizo za duniani? Beberu ameshaunguruma na vibaraka wenu wameufyata mara moja. Masikini hana chaguo, unaanzaje kuleta jeuri?
 
Tuliwaonya msijaribu mtakiona cha moto mkajifanya nyie ni miamba kiko wapi sasa? Members walitoa kebehi hapa kiko wapi? Mkong'oto upo pale pale.
Dar es salaam Mpooooooooooo

Halafu kanafuata kale ka wimbo ka BoB One love wancheza weeeewew kakiisha

Anapanda Halima mdeee😂🤣😂🤣😂🤣 Anaanza Mweshimiwa Rais Hawa ni wananchi Wa WAKO Wa kawe wapi Tayari

Sasa Unaijiuliza Magufuli Rais Yupo Halafu kuna muhuniii anaitwa Rais hapa ndio nilijua Hawa watu hawapo serious
 
Sheria zipi hizo za duniani? Beberu ameshaunguruma na vibaraka wenu wameufyata mara moja. Masikini hana chaguo, unaanzaje kuleta jeuri?
Hujui unaloongea. Hakuna nchi yoyote sio USA wala pimbi yoyote atakaye tubabaisha. ''Mark my words.'' Tanzania huwa hatutishiwi nyau? Unamfahamu wewe Henry Kissinger wewe? Kama humfahamu uliza wasifu wake na alikuwa lini? Msione vinaelea vimeundwa.
 
Kina Zitto bwana, wamepanga kumpiga wenyewe ili watafute kikii leo wanasingizia CCM, ndiyo maana wananchi hatujawachagua this time around.
Hahaha kapigwa na polisi wa ccm, si unawajua walivyo wajinga wakitafuta vyeo.
Mi ccm ndivyo ilivyo.
 
Nimesikia hii pia, hii laana itamtafuna Magufuli na GENGE lake milele. Mungu ni wetu sote.
Dua za kuku.

Jussa alishurutishwa kuingia barabarani na kukaidi amri ya polisi?
Alikuwa kwenye kundi la watu waliokuwa wakipiga polisi mawe, mlitaka polisi wafanye nini? Wakimbie au waokote mawe na wao wapigane mawe?

Kama kafa apumzike anakostahili, maana maamuzi yake pamoja na Maalim yamegarimu watu wengine wenye damu pia maisha.
 
Member of the Central Committee of the Party @IsmailJussa has been severely beaten by the Zanzibar Armed Forces and he is currently at the Police Headquarters Hospital, Ziwani Zanzibar. @usembassytz, @GermanyTanzania, @BBCPolitics.

View attachment 1615562
Mazanzibari wanasema Mwanakulitafuta Mwakulipata, na kama kweli kafa, apumzike anakostahili, maana maamuzi yake pamoja na Maalim kuingiza watu barabarani yamegarimu watu wengine maisha pia.
 
Namuombea Afya njema, Mungu amsaidie uponyaji!
Siasa zisiwe chanzo cha kuumizana..!!
Kuna kisingizio maarufu... "muungano utalindwa kwa gharama yoyote... mapinduzi daima!!" Pasi kumwaga damu za wazenji na kuwakandamiza watawala wanaamini zenjibari haitawaliki.
Damu za wahanga wanaouliwa hazitawaacha salama wauwaji
 
Dar es salaam Mpooooooooooo

Halafu kanafuata kale ka wimbo ka BoB One love wancheza weeeewew kakiisha

Anapanda Halima mdeee😂🤣😂🤣😂🤣 Anaanza Mweshimiwa Rais Hawa ni wananchi Wa WAKO Wa kawe wapi Tayari

Sasa Unaijiuliza Magufuli Rais Yupo Halafu kuna muhuniii anaitwa Rais hapa ndio nilijua Hawa watu hawapo serious
Eti mheshimiwa raisi sijui rahisi hawa jamaa wamemvunjia sana heshima JPM, na akiingia huyo rais wao majigambo ooh nimekaa Ubigijii miaka mi3 kasahau kwamba hajaishi maisha ya kawaida akiwa huko anatibiwa,aisee matusi yote kwa JPM atalipa tu,
Mkulu ashalamba jokeri kinachofata ni fimbu tu.
 
Back
Top Bottom