ACT wazalendo inaongoza halmashauri, Wizara na Mkoa ni mafanikio makubwa!

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Ukikiondoa chama cha Cuf ambacho kimewahi kuunda serikali kwa kushirikiana na CCM Kule Zanzibar, ACT kinakuwa chama cha kwanza Tanganyika kupata fursa ya kushirikiana kiuongozi na CCM ktk serikali kuu.Hiki ni jambo la kujivunia kwa wana Act na wasikatishwe tamaa na kejeli zisemazo wao ni tawi la CCM.Ikumbukwe pia wakati Rais Magufuli anaapishwa, mwenyekiti wa ACT ambaye Naye aligombea urais alimkabidhi Rais Magufuli ilani ya uchaguzi ya chama chake. Hivyo kwa wajuvi wa siasa hatushangai kuona teuzi hizi za wane Act lakini hatushangai pia kuona mama Mgwhira anaendelea kuwa mwenyekiti wa Act. Labda kitakachotushangaza kidogo ni kwanini Chadema wanashindwa kufurahia kuletewa RC wa chama chenza cha upinzani ktk mkoa ambayo ndio kitovu cha upinzani nchini, wana hofu gani?! Ni hayo tu ahsante ni.
 
Back
Top Bottom