ACT-Wazalendo hongera kwa kuzindua Redio na TV yenu

Matulanya Mputa

JF-Expert Member
Aug 14, 2023
210
580
Muda mfupi ujao kabla ya uchaguzi mkuu ACT-WAZALENDO kuzindua TV na radio yao hii ni hatua nzuri kwa chama cha upinzani na itawasaidia kufikisha ujumbe mjini na vijijini hongereni sana.

1725785774396.png

Pia soma: Kuelekea 2025 - Mchinjita: ACT Wazalendo haitumikii CCM tulimpa nafasi Rais Samia lakini hajatekeleza
 
Hongera kwa ACT, chadema chama kizee kabisa kimeshindwa kuyafanya haya wao wanapingezana kwa safu ya Uongozi kumiliki MAHEKALU TU.
 
Muda mfupi ujao kabla ya uchaguzi mkuu ACT-WAZALENDO kuzindua TV na radio yao hii ni hatua nzuri kwa chama cha upinzani na itawasaidia kufikisha ujumbe mjini na vijijini hongereni sana.
Hongera kwa ACT, chadema chama kizee kabisa kimeshindwa kuyafanya haya wao wanapingezana kwa safu ya Uongozi kumiliki MAHEKALU TU.
Tusiwalaumu Chadema, Wakifungua ni kama kujilisha Upepo tu.

Vyombo vinavyosimamia hiyo Idara vitawafungia tu.
Kumbuka Tanzania Daima ilivyouwawa
 
Hongera kwa ACT, chadema chama kizee kabisa kimeshindwa kuyafanya haya wao wanapingezana kwa safu ya Uongozi kumiliki MAHEKALU TU.
Chadema ilikuwa na magazeti yake yakawa yanafanyiwa zengwe na kufungiwa kwa miaka 3+. Sasa unadai redio na TV za chadema zingeschwa salama?

ACT ni ccm B, hivyo kila kitu kinawezekana.
 
Shida media za chadema zilikuwa zinatumia lugha mbaya + zilikuwa na uongo sana,

Ni ukweli mbaya ila ndio ilivyo
 
Back
Top Bottom