Nicholas J Clinton
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 877
- 486
Chama Cha upinzani ACT Tanzania mpaka sasa kina wabunge wawili vivuli na madiwani, wabunge ni Zitto na Hamad, madiwani ni Matata na Chagulani, lakini vile vile chama kitakuwa na nguvu kubwa na kuwa headline baada ya kupewa nguvu na wabunge wa CCM, CHADEMA na NCCR.
Hii inakuja baada ya wabunge wengi kutoka NCCR kupata ubunge kwa mgongo wa Zitto na hivyo kumfuata kwa chama chao kipya. Miongoni mwa wabunge kutoka CCM ni Lugola, Kesy, Bulaya, Lowassa Mkono, Sitta, Kilango na -----.
So CHADEMA kitabaki na nguvu ile ile na kitawatenga wenzao wa UKAWA na ni kutokana na CCM kutenga fedha nyingi ya kuonga baadhi ya UKAWA na wako tiyari kuongwa kwa sababu wanajua hawawezi kushinda ubunge so kujiengua mapema lakini pia utakuwa mwisho wa CCM kati ya CHADEMA na ACT Tanzania ndio vyama vitachwana kwa nguvu baada ya wabunge wa CCM kuasi akiwemo EDO na mwisho tutaona kati ya waasi kutoka CHADEMA na CUF wakipambana na CHADEMA.
Hapa itakuwa ni vumbi tupu na wagombea wa Urais ni kati ya Zitto na Lowassa huku visiwani akiwa ni Hamad kupita ACT Tanzania.