ACT- Tanzania ina wabunge kivuli wawili na kitakuwa chama kikuu cha upinzani 2015

Nicholas J Clinton

JF-Expert Member
Mar 13, 2014
877
486
Chama Cha upinzani ACT Tanzania mpaka sasa kina wabunge wawili vivuli na madiwani, wabunge ni Zitto na Hamad, madiwani ni Matata na Chagulani, lakini vile vile chama kitakuwa na nguvu kubwa na kuwa headline baada ya kupewa nguvu na wabunge wa CCM, CHADEMA na NCCR.

Hii inakuja baada ya wabunge wengi kutoka NCCR kupata ubunge kwa mgongo wa Zitto na hivyo kumfuata kwa chama chao kipya. Miongoni mwa wabunge kutoka CCM ni Lugola, Kesy, Bulaya, Lowassa Mkono, Sitta, Kilango na -----.

So CHADEMA kitabaki na nguvu ile ile na kitawatenga wenzao wa UKAWA na ni kutokana na CCM kutenga fedha nyingi ya kuonga baadhi ya UKAWA na wako tiyari kuongwa kwa sababu wanajua hawawezi kushinda ubunge so kujiengua mapema lakini pia utakuwa mwisho wa CCM kati ya CHADEMA na ACT Tanzania ndio vyama vitachwana kwa nguvu baada ya wabunge wa CCM kuasi akiwemo EDO na mwisho tutaona kati ya waasi kutoka CHADEMA na CUF wakipambana na CHADEMA.

Hapa itakuwa ni vumbi tupu na wagombea wa Urais ni kati ya Zitto na Lowassa huku visiwani akiwa ni Hamad kupita ACT Tanzania.
 
Kumbe lengo la ACT-Tanzania ni kuwa "Chama Kikuu cha Upinzani?" Waweke hili kwenye Katiba yao ili lieleweke kwa wananchi!
 
Kwa ufinyu wa mawazo yako naomba nikuweke sawa kama ifuatavyo; 1.Ofisi za ACT zimefungwa kama huna taarifa.2.Zito na H.Rshid si mawaziri vivuli, walishavuliwa toka kitambo.3.H.Rashidi hawezi kwenda ACT.4.Huyo rafiki yako wa mwanza hana hata mtaa kwa sasa, so nae ni wa muda tu.5.Zito ana akili sana hawezi kujiunga na ACT.6.EL ana hadhi yake hawezi kwenda ACT. 7.Mwisho labda ACT wajipendekeze ukawa huenda wakapata hata diwani.
 
ndio naamini hata mm kua ACT inakuja kua chama kikuu cha upinzani kwani kalibuni watu walioko kwenye chama niwatu wenye uwezo wa kujenga hoja binafsi na zenye mashiko hivyo 2ko tayara kuwaunga mkono kwa kishindo kikubwa.
 
kaa chonjo kwakua huna ujualo mpira uwanjani mshindi dakika 90, subili tuone lowssa atasimamia wapi na kwa tiketi ipi kuingia ikulu msiwe mnaongelea watu kabla wenyewe hawajaongea.
 
Chama Cha upinzani ACT mpaka sasa kina wabunge wawili vivuli na madiwani, wabunge ni Zitto na Hamad, madiwani ni Matata na Chagulani, lakini vile vile chama kitakuwa na nguvu kubwa na kuwa headline baada ya kupewa nguvu na wabunge wa CCM, CDM na NCCR hii inakuja baada ya wabunge wengi kutoka NCCR kupata ubunge kwa mgongo wa Zitto na hivyo kumfuata kwa chama chao kipya miongoni mwa wabunge kutoka CCM ni Lugola, Kesy, Bulaya, Lowassa Mkono, Sitta, Kilango na ----- so CHADEMA kitabaki na nguvu ile ile na kitawatenga wenzao wa UKAWA na ni kutokana na CCM kutenga fedha nyingi ya kuonga baadhi ya UKAWA na wako tiari kuongwa kwa sababu wanajua hawawezi kushinda ubunge so kujiengua mapema lakini pia utakuwa mwisho wa CCM kati ya CHADEMA na ACT ndo vyama vitachwana kwa nguvu baada ya wabunge wa CCM kuasi akiwemo EDO na mwisho tutaona kati ya waasi kutoka CHADEMA na CUF wakipambana na CHADEMA hapa itakuwa ni vumbi tupu na wagombea wa Urais ni kati ya Zitto na Lowassa huku visiwani akiwa ni Hamad kupita ACT
ni kweli kabisa mkuu, tena kukazia hili ni chama pekee kinachoongozwa na kamati kuu mbili.
 
ACT kitakuwa chama kikuu cha upinzani wakati chadema kitakapokuwa chama tawala
 
Kwanza kabisa chama changu cha kwanza kilikukwa chama cha CHADEMA. Lakini kwa kadri siku zilivyoenda nikaanza kuona hakina muelekeo kabisa wa kushika nchi nikatamani chama chenye muelekeo. Bahati Mbaya zaidi nimejikita kwenye biashara na kuachana na siasa .
Sasa kama chama hiki kitaleta demokrasia ya Kweli ndani ya chama Kati ya wanachama wenyewe, najua wazi wabunge kadhaa wa CHADEMA watahamia ACT tena vijana pia wapo ambao watatoka hata CCM na vyama vingine.Act ni chama kipya kabisa lakini tayari kina wenyeviti wa mtaa lukuki.
Hapa Tanzania kulikuwa hakuna mbadala wa CCM lakini kama act watacheza karata vizuri mwaka huu ni wao.
CHADEMA ni taasisi Binafsi hata wabunge wenyewe wanalalamika kutoa kiasi cha mishahara Yao kuchangia chama huku kikiwa na matumizi Mbaya ya ruzuku.
 
ACT kitakuwa chama cha mtandaoni kama baba yao zito...miaka 20 ijayo kama mtakuwa na Sera mzuri mtachukua nafasi ya ccm kwa naamini ccm itakufa baada ya lowasa
 
hiyo inaitwa jicho la tai niwachache sana wenye upeo wakuona mbali kama hivi,ila piga ua galagaza ikishinda ccm bas wanaukawa lazima wakae pemben kuipisha ACT na vivyohvyo ikishinda ukawa basi ccm lazma ikae pembeni kumpisha zitto alete ushindani wa kweli kwenye siasa

kama unaona mbali kama mimi comment possitvely ila kama kilaza comment ujinga wako tukujue

snk inc
 
Back
Top Bottom