ACT- Tanzania ina wabunge kivuli wawili na kitakuwa chama kikuu cha upinzani 2015

Mimi Naamini Kwa Mshindi Yoyote Act Hakiwezi Kikawa Chama Kikuu Cha Upinzani Hiyo Ni Kutokana Na Kuwa Ubavuni Mwa Ccm, Hivyo Ccm Ikipotea Wanapotea Kwa Pamoja Na Ccm Wakashinda Chadema Kitabak Kuwa Chama Kikuu Cha Upinzani Rait Act Wangeenda Kivyao Bila Kuitegemea Ccm Ni Dhahili Kingekuwa Chama Kikuu Cha Upinzani Hiyo Ni Baada Ya Ccm Kuanguka Na Kupotea Kabisa Katika Ulimwengu Wa Siasa, NB Chagua lowasa
 
Mpaka sasa adui mkuu wa act ni UKAWA na vile vile lengo kuu lao eti ni kua Chama kikuu cha upinzani na sio chama tawala. Kwa mantiki hiyo basi wsshinde ccm au CHADEMA act itakufa. Angalau wakishinda CHADEMA act inaweza kuwepo japo napo ni kwa %chache
 
Kwa ufinyu wa mawazo yako naomba nikuweke sawa kama ifuatavyo; 1.Ofisi za ACT zimefungwa kama huna taarifa.2.Zito na H.Rshid si mawaziri vivuli, walishavuliwa toka kitambo.3.H.Rashidi hawezi kwenda ACT.4.Huyo rafiki yako wa mwanza hana hata mtaa kwa sasa, so nae ni wa muda tu.5.Zito ana akili sana hawezi kujiunga na ACT.6.EL ana hadhi yake hawezi kwenda ACT. 7.Mwisho labda ACT wajipendekeze ukawa huenda wakapata hata diwani.
Umeshamuomba msamaha mtoa uzi?
 
Back
Top Bottom