ACT- Tanzania ina wabunge kivuli wawili na kitakuwa chama kikuu cha upinzani 2015

hiyo inaitwa jicho la tai niwachache sana wenye upeo wakuona mbali kama hivi,ila piga ua galagaza ikishinda ccm bas wanaukawa lazima wakae pemben kuipisha ACT na vivyohvyo ikishinda ukawa basi ccm lazma ikae pembeni kumpisha zitto alete ushindani wa kweli kwenye siasa

kama unaona mbali kama mimi comment possitvely ila kama kilaza comment ujinga wako tukujue

snk inc

Hivi nawewe ni GT? Tumbaku ni kitu kibaya sana hasa ukiipiga bila kupata kikombe cha uji.
 
Walaye umwana waachu wa mwandiga😲
 
Act - Madiwani 2, MBUNGE 1, kura za urais 130,000/ basi, piga hesa kama hizo kura zinatosha kuwa kambi rasmi ya upinzani.
 
Umevurugwa wewe, hiyo act haiwezi hata kupata wabunge zaidi ya 2 itakuwaje kambi rasmi ya upinzani
 
Nnakubaliana na wewe katika hilo, nimesikia yule dada wa ACT yuko vizuri na Zitto ana mapungufu yake lakini ni bora kuliko mwana ukiwa yeyote yule.
 
hiyo inaitwa jicho la tai niwachache sana wenye upeo wakuona mbali kama hivi,ila piga ua galagaza ikishinda ccm bas wanaukawa lazima wakae pemben kuipisha ACT na vivyohvyo ikishinda ukawa basi ccm lazma ikae pembeni kumpisha zitto alete ushindani wa kweli kwenye siasa

kama unaona mbali kama mimi comment possitvely ila kama kilaza comment ujinga wako tukujue

snk inc

Hakuna MTU anaweza kukoment ujinga Mkubwa kupita ujinga ulioandika wewe
 
Ukistaajabu ya lema utayaona ya mrema ona pepo LA usariti linaitafuna chadema
 
Act - Madiwani 2, MBUNGE 1, kura za urais 130,000/ basi, piga hesa kama hizo kura zinatosha kuwa kambi rasmi ya upinzani.

Umevurugwa wewe, hiyo act haiwezi hata kupata wabunge zaidi ya 2 itakuwaje kambi rasmi ya upinzani

nani kasema inakua kambi rasmi ya upinzani??? tuliza akili usome nlichoandika acha kukurupa ili uonekane umewahi kucomment
 
Hivi nawewe ni GT? Tumbaku ni kitu kibaya sana hasa ukiipiga bila kupata kikombe cha uji.

ndio maisha ya kwenu hayo??? aya tunashukuru tumekujua ila viwanda vya tumbaku vimeshafunguliwa au bado inasafirishwa kama malighaf???
 
Ndio umeandika kitu gani tena hapa?au ndio kazi ya viroba na tumbaku imeanza kuzaa matunda?
 
Unaandika ujinga tu, hapa ni GT umbea wenu pelekeni fb huko. Eti ACT kitakuwa chama Kikuu cha upinzani, huna facts zozote basi tu kwakuwa jina ni la kike mwisho tumekupuuzia tu.
 
sawa dada vipi mmeo akuktosheleza nin jana usiku?? kuwa muwazi tuu visirani sio vzuri
 
Back
Top Bottom