ACT- Tanzania baada ya kupata usajili wa kudumu wamefungua matawi mangapi?

chadema wameng'ang'ania usaliti tu wenzao wanasonga mbele....mbowe aliuza jimbo la musoma vijijini sio msaliti kwa sababu ni mwenzao
 
Salaam wanajamvi,

Napenda kujua chama cha ACT-Tanzania mpaka sasa kimefungua matawi mangapi,na katika mikoa gani?Maana juzi nilikuwa Mbeya sijabahatika kuona bendera ya
ACT-Tanzania,hata Arusha,Dodoma,Morogoro,Iringa,Songea kote huko nimepita sijafanikiwa kuiona bendera hata moja ya ACT-Tanzania au hawajafika bado mikoa hii na kama hawajafika watashirikije uchaguzi wa serikali za mtaa utakaofanyika hivi karibuni au wamejitoa?

Naomba kuwasilisha.

Tujifunze kutokufuatafuata maisha ya wengine wakati ya kwetu hayako sawa
Fanyikazi ushauri huu.
Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
HAKUNA MSALITI ALIYEWAHI KUFANIKIWA , nitajie hata mmoja unayemjua AKASALITI HALAFU AKAFANIKIWA .

Wasaliti waliofanikiwa. Wasira nccr to ccm, kabolou chadema to ccm, kafulila chadema to nccr na sasa ukawa pamoja na uwaziri kivuli, dk.slaa ccm to chadema, lema nccr to chadema n.k. orodha ni ndefu sana ila naishia hapo. Na utunze kumbukumbu Zitto baada ya zengwe la wachaga wa chadema kuisha, Zitto kisiasa atakuja fika mbali sana iwe hata iwe nje ya wigo wa siasa. System inamkubali sana kuliko hao wapiga kelele wenu daily kutoa kafara kwenye mikutano ya hadhara.
 
Onyesha hata ofisi moja iliyojengwa na CCM zaidi ya kugeuza nyumba za serikali kufanya za CCM,Misaada ya vijana kama kutoka korea kujenga jumba la vijana

Sasa kama unajua hilo kisebusebu kuhoji ya wenzio wakati yakwako yanakushinda unakitoa wapi???
Na kama ccm imejenga kwa msaada wa wakorea nyie ukawa pesa mnazochangisha kwenye mikutano mnapelekaga wapi? Au hizo chopa za akina ndesa za kaz gan wakat hamna hata ofc? Kwann hao matajiri wenu wasiwajengee ofc? Maisha ya ukawa hayatowasaidia kwan sio walioiua chadema bali ukawa ndo imewamaliza.
Mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe alaf mnakuja kulalamika kwa act.
 
hakuna akina Tumpale wajinga kama wewe wale watu wanajitambua unashadidia marehemu

Ndugu yangu nikweli mimi ni mjinga, lakini kwanini mnahangaika na hao marehemu. Marehemu wameshazikwa shida ya nini kiasi unakosa usingizi. Bwana Lwesye utajitambua siku utakapoziruhusu akili zako zifanye kazi kwa namna mungu alivyotaka zifanye, kwa utaratibu huu wa kuzipa akili zako likizo na kuwasubiria watu wengine wafikirie kwa niaba yako itakupa shida. Waacheni marehemu na maisha yao hangaikeni na ya kwenu
 
Wasaliti waliofanikiwa. Wasira nccr to ccm, kabolou chadema to ccm, kafulila chadema to nccr na sasa ukawa pamoja na uwaziri kivuli, dk.slaa ccm to chadema, lema nccr to chadema n.k. orodha ni ndefu sana ila naishia hapo. Na utunze kumbukumbu Zitto baada ya zengwe la wachaga wa chadema kuisha, Zitto kisiasa atakuja fika mbali sana iwe hata iwe nje ya wigo wa siasa. System inamkubali sana kuliko hao wapiga kelele wenu daily kutoa kafara kwenye mikutano ya hadhara.

HAPO UMECHANGANYA WALIOHAMA VYAMA na WASALITI , ACT - IMEKUSANYA WASALITI WA VYAMA MBALIMBALI .
 
chadema wameng'ang'ania usaliti tu wenzao wanasonga mbele....mbowe aliuza jimbo la musoma vijijini sio msaliti kwa sababu ni mwenzao

kila MARA UNAAMBIWA KUNA SMS kutoka kwa msaliti mkuu kwenda kwa MGOMBEA ILI AJITOE , kisa ! PESA IMEONGEZWA !
 
kila MARA UNAAMBIWA KUNA SMS kutoka kwa msaliti mkuu kwenda kwa MGOMBEA ILI AJITOE , kisa ! PESA IMEONGEZWA !

ninao ushahidi wa mbowe kuhongwa milioni ishirini na nimrod mkono...tatizo nyie misukule mmeshikiwa akili na mbowe...mbowe huyu huyu amejimilikisha gazeti la tanzania daima na kuuzia chama fuso mbovu kwa milioni 600
 
Msaliti ni nani? shida kubwa tuliyonayo watanzania ni kuwaachia watu wengine wafikiri kwa niaba yetu. Hao waanzilishi wa ACT ni wasaliti na mnajua hawatafanikiwa kama ambavyo wengine hawajafanikiwa, kwanini msiwaache waendelee kuhangaika kwa kuwa hawatafanikiwa. Nini sababu ya kukosa usingizi kwa watu unaojua hawatafanikiwa. Badilisheni fikra na mitazamo yenu na tumie muda wenu kutengeneza taasisi zenu. Simple mind wanajadili watu wengine

uzi UKILETWA HAPA TUNACHANGIA , HUO NDIYO UTARATIBU WA JF , TENA TUNACHANGIA BILA HURUMA ! NYEUSI HAIWEZI KUITWA NJANO !
 
Onyesha hata ofisi moja iliyojengwa na CCM zaidi ya kugeuza nyumba za serikali kufanya za CCM,Misaada ya vijana kama kutoka korea kujenga jumba la vijana

Ni aibu na fedheha kuhalalisha upuuzi kwa kuwa mpinzani wako anafanya upuuzi, kwakuwa CCM hawajajenga ofisi na nyinyi hamuoni umuhimu wa ofisi, kama ndivyo kwanini mnahangaika na CCM kama ndiye role model wenu. ACT - Tanzania sio chama cha majungu na ufitini, mmekuwa chama pekee mnaosifika kuwapa majina mabaya watu wote wanaopingana na ninyi kimawazo na kimtazamo. Cuf na Nccr walikuwa CCM B, Zitto, Dr Kitila, Chacha Wangwe, Mwigamba na wengine wengi wasaliti na wahaini na majina mengine mengi. Endeleeni kwakuwa ni tabia yenu ndivyo mlivyolelewa.
 
ninao ushahidi wa mbowe kuhongwa milioni ishirini na nimrod mkono...tatizo nyie misukule mmeshikiwa akili na mbowe...mbowe huyu huyu amejimilikisha gazeti la tanzania daima na kuuzia chama fuso mbovu kwa milioni 600

weka hapa huo ushahidi , MAKELELE HAYATAKUOKOA .
 
HAPO UMECHANGANYA WALIOHAMA VYAMA na WASALITI , ACT - IMEKUSANYA WASALITI WA VYAMA MBALIMBALI .

Katibu mkuu wa chama chako alikuja chadema baada ya kushindwa kura za maoni CCm, Mbunge wako wa Arusha alikuja kwenye chama akitokea Tlp, Mwanasheria wa chama chako alitokea NCCR, Mbunge wako wa iringa alikuja kwenye chama chako akitokea tlp, kama kutoka chama kimoja kwenda kingine ni usaliti, je hao waliotajwa hapo juu ni wasaliti pia?
 
Salaam wanajamvi,

Napenda kujua chama cha ACT-Tanzania mpaka sasa kimefungua matawi mangapi,na katika mikoa gani?Maana juzi nilikuwa Mbeya sijabahatika kuona bendera ya
ACT-Tanzania,hata Arusha,Dodoma,Morogoro,Iringa,Songea kote huko nimepita sijafanikiwa kuiona bendera hata moja ya ACT-Tanzania au hawajafika bado mikoa hii na kama hawajafika watashirikije uchaguzi wa serikali za mtaa utakaofanyika hivi karibuni au wamejitoa?

Naomba kuwasilisha.

Mkuu huku mkoani kwetu ACT wanatumia ofisi za CCM kuendesha shughuri zao.Wakidai kua bado wanajipanga.
 
Katiba ya ACT-Tanzania haina sehemu inayoongelea Matawi, Katiba ya ACT-Tanzania inaongelea NGOME, Kwa hiyo hatuna Matawi.
 
Back
Top Bottom