ACT Maendeleo kabla ya kikao na msajili walihubiri katiba mpya baada ya kikao wanahubiri tume huru kulikoni?

Sio lazima NEC hii ndio ihusike kwenye kura ya maoni, inaweza kuundwa tume maalum ya kusimamia huo mchakato kama lilivyoundwa bunge maalum la katiba.
Kuna watu wanahitaji elimu kubwa sana kuhusu masuala ya uraia.
 
Maandalizi ya katiba mpya yanaitaji bunge liandae kanuni kwa akili yako bunge hili la 100% Chama kimoja itakuwaje
Akili hii ndogo sana inakusaidia kwenda na kutoka chooni tu lkn huwezi kujenga hoja.

Time unawezaje kuwa huru wakati mamlaka ya rais bado ni makubwa kiasi hiki? ACT Wazalendo wanatumika kutakatisha uovu wa ccm
 
Tume huru italeta wabunge wenye tija na hoja juu ya katiba mpya huo ni msimamo wa ACT wazalendo siyo lazima kufanana malengo na chadema tatizo lenu mpo kwa kumchalenge zitto kwa kua tu kawashinda vision.
 
Tume huru italeta wabunge wenye tija na hoja juu ya katiba mpya huo ni msimamo wa ACT wazalendo siyo lazima kufanana malengo na chadema tatizo lenu mpo kwa kumchalenge zitto kwa kua tu kawashinda vision.
Uchaguzi sio jambo la Tume tu, watu, makundi na taasisi nyingi zina maslahi makubwa na uchaguzi hawawezi kuwaachia tume tu wafanye watakavyo. Jecha hakufuta uchaguzi wa Zanzibar kwa utashi wa tume tu.
 
Uliwahi kumfatilia zitto kabla hajafukuzwa bungeni halafu akateuliwa kwenye tume ya madini. Kama alibadirika kipindi kile siwezi kumshangaa kwa sasa
 
Back
Top Bottom