MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,426
Habari za chini chini zinasema kuna mazungumzo mazito sana yamefanyika nyumbani kwa Freeman Mbowe usiku kwa zaidi ya siku tatu wiki iliyopita.
Ajenda kubwa kwenye mazungumzo hayo yalikuwa ni kuangalia na kumpokea mh Zitto kabwe ambaye anatarajiwa kurudi kundini katikati ya mwaka 2018 au mwanzoni mwa 2019 .
Mazungumzo hayo yalioshuhudiwa na viongozi waandamizi wa Chadema huku Tundu Lissu akishiriki kwa njia ya simu.
Mazungumzo hayo hayakufikia muafaka hasa suala la kumsafisha Zitto na kashfa ya usaliti nalo likiibuka wengi wa viongozi wa Chadema wakimtaka Zitto akiombe chama na wanachama msamaha na wachache wakitaka chama kitamke kuwa kilifanya makosa katika kushughulikia suala la Zitto,chanzo kiliripoti.