ACP Kingai ni vyema na haki ikiwa utarejesha Tsh 260,000 fedha za mtuhumiwa wa ugaidi

Tumdai kwanza Moses Lijenje...
"Moses life matters"
Hela wachukue hiyo 260 nimshahara wao wamwezi ati,wanastress sana za maisha!!
Kamavipi akarepee anapoishi unakuta ni daborumu chaafu inayoanguka...
hivi vitu ndovinawapaga rohombaya atii!
Au mwache akahonge kahaba apewe ukimwi,pesa zawizi siunajua huwa na laana zake...
Wanavyotesa binadamu unagundua somehow hawa watu hawakosawa wanaishi kwatabu sana!!
 
Tumdai kwanza Moses Lijenje...
"Moses life matters"
Hela wachukue hiyo 260 nimshahara wao wamwezi ati,wanastress sana za maisha!!
Kamavipi akarepee anapoishi unakuta ni daborumu chaafu inayoanguka...
hivi vitu ndovinawapaga rohombaya atii!
Au mwache akahonge kahaba apewe ukimwi,pesa zawizi siunajua huwa na laana zake...
Wanavyotesa binadamu unagundua somehow hawa watu hawakosawa wanaishi kwatabu sana!!

Hili nalo neno.
 
Ni vyema na haki sasa baada ya kesi kuisha na DPP kukimbia na mpira kabla ya kipenga cha mwisho ACP Kingai arejeshe fedha alizokwapua.
 
Siyo kwamba wana hali mbaya,wanatumia pesa zao vibaya,wana posho katikati ya mwezi,mshahara mwisho wa mwezi,bado maruprupu kibao.Wanatumia pesa tu vibaya.
Hili limejikita kimfumo zaidi, vyuo vya polisi wanafundishwa kuja kuishi vipi na jamii?

Ona akili zao ni kama ng'ombe! Atalazimisha kukupa kosa ambalo hujafanya! Marq "unadharau jeshi"! Wanafundishwa nini hawa? Badala ya kuweka vibao vya speed camera barabarani, wao wanajificha juu ya miti wanapiga picha na kutuma point ya mbele ili ukamatwe!
Hawajali usalama kbs! Wao ni fedha tu! Wamekuwa ni tatizo, kile kitengo ukiibiwa simu mpaka kuipata bei yake ni zaidi ya kuinunua na au ukashindwa wakabakia nayo wao! Wamekaa kihalafu zaidi, gari halina plate namba! Au hata hazieleweki ni namba za wapi!
Askari kuwa na nia ovu kwa raia, dokta afanye nini kwa mgonjwa?
Mwalimu je afanyaje?

Katiba mpya iwe na kipengele cha kumwajibisha mfanyakazi yeyote anapotenda nje ya mipaka ya kazi yake. (Ushahidi ukijitosheleza afungwe jela miaka 5) mambo yasiwe mengi'
 
Back
Top Bottom