ACP Hemed Msangi...

Mkuu jigokuu

Tazama post # 69,75,84 & 88 utaziona picha zake.
 
Last edited by a moderator:
jigoku

ACP Hemed Msangi alifanyakazi Arusha kama PP enzi za RPC Hemed [mwarabu] na baadae akaamishiwa Arumeru kama OC-CID wakati wake kituo cha polisi USA kilisifika kwa mauaji na mateso.Mwaka juzi alipandishwa cheo na kuhamishiwa Morogoro kama RCO mwaka 2012 akahamishiwa Dar kama RCO kanda maalumu.

ACP Hemed Msangi ana pacha wake ACP Salim Msangi ni RPC mkoa mpya wa Simiyu huyu alifanyakazi mkoa wa Kilimannjaro CCP muda mrefu bila shaka wachangiaji wengi wanawachanganya kwakuwa wote ni watoto wa marehemu RPC Msangi aliyefariki kwa ajali ya gari iliyotokea wakati wa msiba wa mtoto wa waziri mkuu mstaafu David C Msuya.Kupanda madaraja kwa haraka sana makamanda ACP Hemed Msangi na ACP Salim Msangi kunahusishwa na ukaribu wa familia ya D Cleopa Msuya.
 
Last edited by a moderator:

Nakubaliana na hawa wanaosema the civilians should take the task to make this one accountable for his deeds
_MG_9765.JPG

Wanted
dead or alive
Name: Hemed Msangi

Position: Assistant Commissioner of Police

Location: Dar es Salaam, Tanzania

Crimes: conspiracy to commit murder, kidnapping, robbery, brutality,attempted murder
A civilian arrest warrant is hereby issued for theabove-mentioned assassin in the assassination attempt against Dr. Ulimboka. Any civilian is hereby required by law toarrest Hemed Msangi (pictured above) and immediately send him or his head toMabwepande forest for justice. Alifelong reward will be offered to the person who will execute this order.
 
jigoku

ACP Hemed Msangi alifanyakazi Arusha kama PP enzi za RPC Hemed [mwarabu] na baadae akaamishiwa Arumeru kama OC-CID wakati wake kituo cha polisi USA kilisifika kwa mauaji na mateso.Mwaka juzi alipandishwa cheo na kuhamishiwa Morogoro kama RCO mwaka 2012 akahamishiwa Dar kama RCO kanda maalumu.

ACP Hemed Msangi ana pacha wake ACP Salim Msangi ni RPC mkoa mpya wa Simiyu huyu alifanyakazi mkoa wa Kilimannjaro CCP muda mrefu bila shaka wachangiaji wengi wanawachanganya kwakuwa wote ni watoto wa marehemu RPC Msangi aliyefariki kwa ajali ya gari iliyotokea wakati wa msiba wa mtoto wa waziri mkuu mstaafu David C Msuya.Kupanda madaraja kwa haraka sana makamanda ACP Hemed Msangi na ACP Salim Msangi kunahusishwa na ukaribu wa familia ya D Cleopa Msuya.

Huyu Hemedi Msangi ni mtu mzuri tu, yeye alifanya kazi pale ofisi ya PP's arusha kwa muda mwingi akiwa na akina Duwani Nyanda,Massawe,Temu,Selemani,Juma,Thomas na Awadhi. Yeye siyo mwanazuoni kabisa lakini kujuana ndio kuliko msaidia, na sio kweli kwamba alisomea Botswana bali alikwenda kule kuudhuria kozi fupi za kipolisi.
 
Last edited by a moderator:
Ki ukweli mi sielewi kuona kuna watanzania wachache wanaochukulia masahibu yaliyompata Dr. kama ni njia ya kujenga popullarity ya Chama au taasisi yao. Ukitazama post nyingi zilizomo kwenye JF kwa sasa hazina nia tu ya kumpa pole Dr. zaidi ya kuwa propagander machinery. Mimi kwa kiasi kikubwa nakumbuka tukio la kupigwa kwa wanahabari waliotembelea ofisi za CUF. Aidha nakumbuka pale iliposemekana kwamba kuna makontena ya majambia yamewasilishwa nchini na watu wa CUF. ukitazama hivyo visu unabaini vina rangi kama za CUF. Hivyo kwa mtizamo wangu mdogo kuna watu wamefaidika kwa kipigo alichopewa Dr. Bahati mbaya sana yawezekana watu walioandaa mkakati huo ni wale wanaotaka serikali hii kuanguka. Yaweza kuwa ni maadui ndani ya Serikali au ni wa nje. Lakini lililokuwa wazi ni kwamba kwenye ovu linalotokana na propagander, mara nyingi muhusika ni yule aliyofanya propagander hiyo. Ni jambo la kusikitisha, ila kama watu kwa sasa wako tayari kutumia maisha ya watanzania wenzetu kwa ajili ya kufanikisha malengo yao ya kisiasa tumefikia pabaya. Tumuombe mungu atunusuru na amponye Dr. Hata hivyo nawasihi ndugu na marafiki wa kweli wa Dr. wajue ndugu yao anatumiwa.
 
Huyu Hemedi Msangi ni mtu mzuri tu, yeye alifanya kazi pale ofisi ya PP's arusha kwa muda mwingi akiwa na akina Duwani Nyanda,Massawe,Temu,Selemani,Juma,Thomas na Awadhi. Yeye siyo mwanazuoni kabisa lakini kujuana ndio kuliko msaidia, na sio kweli kwamba alisomea Botswana bali alikwenda kule kuudhuria kozi fupi za kipolisi.

Mmhhh mkuu umenikumbusha mbali sana, kwa hakika una mfahamu huyu jamaa vizuri sana.
 
Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
 
Use your Brain not your spinal cord, ... when you r doing a critical thinking!!OK?
 
Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
Wewe msangi usilete Uzi wa kujitetea hapa jf nenda kanisani ukatubu hapa unapoteza muda tuu data zako zote tunazo
 
Lo! Posti ya kwanza tu unaanza na pumba kiasi hicho. Je umejiunga ili kumtetea kamanda msangi? Au wewe mwenyewe ndiyo kamanda msangi?
 
Kwa Wanaomjua vizuri Msangi na history yake na namna ya mateso alokuwa akitoa, halafu wakaangalia na Mateso Dr. Uli alloteswa watakupa jawabu kuwa Msangi anahusika kwa namna moja ama nyingine.

Binadam huwa tunatabia ya kufanya vitu kipekee na tofauti na mwenzako anaefanya jambo lile lile, hiyo wazungu huita signature. Kwa mateso Ya Dr. Uli, Msangi kaacha signature.

Ukweli utajulikana mwisho wa siku.
 
Unatafuta faraja, hizo propaganda zako zinafanana na zile za chama cha kijani. Watanzania wa leo wameelimika, wewe ndiyo wa kuwaambia, zilitengenezwa ama anahusika kama alivyotajwa na dk pale alipokwenda icu kumkejeli
kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (zco) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka dr.ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki steven kanumba ya kuwa eti kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
 
Msangi anajua kahusika, na vita aliyoianzisha na madokta inabidi ajifunze mbinu za kupambana nao, maana hawa madokta kama hawatomdhuru yeye, basi watawadhuru wote walio karibu naye...kama haamini, basi asubiri aone
 
another pumbaman,....kila mlipangalo kwa sasa linafeli,na theread yako hii ya ujumbe wa kipuuzi imefeli,kajipange upya
 
Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
weeeeeeeeeeeeeeeee!!!! take care watu wamefunguka, hadanganyiki mmtu wala hasafishiki mtu , lazima huyu kamanda awajibike kwa vitendo vyake vya ukatili ,
 
Wewe msangi usilete Uzi wa kujitetea hapa jf nenda kanisani ukatubu hapa unapoteza muda tuu data zako zote tunazo

wamechemsha, wanaona haya haoooo. nilisoma high level mbeya ingawa mimi ni wa mtwara. wanyakyusa wana msemo usemao "tunyomwike" yaani tumewashtukia au aka tumewabamba.
(angalizo: nilimaliza siku nyingi km nimelikosea, wadau wanisahihishe.)
 
Back
Top Bottom