Dear nimejaribu mpaka matango lakini wapiTumia vitu vya asili kwanza... unga wa manjano, dengu, Mdalasini, nyanya, kiazi mviringo, pia angalau mara mbili kwa wiki weka mvuke kwa uso wako... nawa uso kwa maji ya uvugu vugu na sabuni kila usiku kabla ya kulala.
Hapo camera imenistiri
😍😘😘😘😘
Vitu vya kuzingatia ni moja ni usafi wa uso wako na maeneo ya jirani kama shingo, hakikisha uso wako ni msafi kabla ya kuapply kitu chochote kipya na jitahidi kuosha uso sio chini aya mara mbili kwa siku(utatumia cleanser yoyote na sio soap). Kwa njia ya asili jaribu kutumia mchanganyiko wa asali na kahawa paka unapo maliza osha uso wako then 30 minutes scrub, then apply mafuta unayo itajiI need any au both maana ngozi inaharibika nikitumia dawa za allergy inarud kuwa sawa Sasa ni Bora unisaidie unavoweza
Kwenye product za kiwandani angalia nature ya ngozi yako iko dry or oil so una apply mafuta in propotion ..lakini mara nyingi jaribu kutumia product zenye ku moisture ngozi yako nafikiri ni bestI need any au both maana ngozi inaharibika nikitumia dawa za allergy inarud kuwa sawa Sasa ni Bora unisaidie unavoweza
Vitu vya asili vinaenda taratibu i mean matokeo taratibu... sio kwa wiki tu unataka upone.Dear nimejaribu mpaka matango lakini wapi
Hapo kwenye facial cleaning bar soap ni aina gan nzuri kea sensitive skin? Maana Mimi uso wangu a bit ni oil skin though since saanaKwenye product za kiwandani angalia nature ya ngozi yako iko dry or oil so una apply mafuta in propotion ..lakini mara nyingi jaribu kutumia product zenye ku moisture ngozi yako nafikiri ni best
Swala la uso linaitaji muda sana
Eg of product vovi cleanser , clear an clean cleanser ,facial cleaning bar soap ,na moisture yoyote ya clear and clean
IF YOU CAN SUSTAIN WITHOUT APPLY ANYTHING ON YOUR FACE AFTER WASHING OR TAKING A BATH NI VYEMA KUPUNGUZA CHANGAMOTO ULIYONAYO MAANA KUWA NA CHUNUSI NI KUWA NA NGOZI YENYE MAFUTA MENGI KATI MAMBO MENGINE YANAYOSHAMIRISHA CHANGAMOTO ZA CHUNUSI, ILA KAMA UNA HALI YA KUPAUKA KAMA HUJAPAKA CHOCHOTE USONI THEN MY IDEA IS NOT A GOOD IDEA.Habari zenu jaman mwenzenu Nina ngozi sensitive lakin chunusi zinazowasha na makovu meusi yameharibu uso wangu naombeni msaada nitumie nini ambacho sio kikali kwa ngozi yangu maana pia hutokewa na mabaka meupe Kama utangotango nmetumia dawa nyingi lakini bado
Tumia ya clear and clean ..kingine kama utapenda fahamu usisite nijulishaHapo kwenye facial cleaning bar soap ni aina gan nzuri kea sensitive skin? Maana Mimi uso wangu a bit ni oil skin though since saana
Nilitaka kutia neno kwa dm, lakin nmeshtushwa na hayo maneno huko ukutan
Eheee ngoja waje wenyewe
IF YOU CAN SUSTAIN WITHOUT APPLY ANYTHING ON YOUR FACE AFTER WASHING OR TAKING A BATH NI VYEMA KUPUNGUZA CHANGAMOTO ULIYONAYO MAANA KUWA NA CHUNUSI NI KUWA NA NGOZI YENYE MAFUTA MENGI KATI MAMBO MENGINE YANAYOSHAMIRISHA CHANGAMOTO ZA CHUNUSI, ILA KAMA UNA HALI YA KUPAUKA KAMA HUJAPAKA CHOCHOTE USONI THEN MY IDEA IS NOT A GOOD IDEA.