ACM limit exceeded

mangi jr

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
290
238
Habari za muda wadau! Mimi simu yangu ina tatzo moja. Kila nikihitaji kupiga simu inaniambia Acm limit exceeded. Naweza kufanya miamala au kupokea simu lakini siwezi kupiga. Nimejaribu Ku clear data kwenye dialer na contact ila tatizo bado. Mwenye ujuzi anisaidie. Natumia Nokia 1 dual sim yenye toleo la android 8 (Oreo)
Sihitaj kubadili SIM card nahitaji Ku fix hili tatizo basi.

Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom