Acid!!

ndugu yangu weee.... naona kuna haja ya kutumua mtu aisee akacheki hali ya mwanetu, maana naona kama yule jamaa wa mikono ya sweta keshaharibu

JS: ushawahi kusoma tenzi ra rohoni weye? Muulize MJ akupe kopi

Tena hapo ndo haswaaa pamenifanya niandike hii...ulikuja mpaka huku ukaondoka hivi hivi
 
Poa tu mwaya dada MJ1..mganda kidogo anioe alienda kununua na pete kabisa (gold ya ukweli) akidhani nitakubali kuwa naye...wapiiii na bado nikamtosa mazima na naendelea kumtosa.
Thats my sweet little sisy...........naona HakiElimu umeikamata ipasavyo.....SIDANGANYIIIIKIIIII.

Haya nambie Acid naye kakufanyia vije?? (Sema taratibu asisikie)
 
Mkuu Acid, with all due respect kwa nini unamfanyia JS kwa namna ambayo hapendi kufanyiwa? Hujamalizaga twisheni yetu ile?
Yaani hii balah

yani leo nimejisikia kusisimka kabisa aisee... wow
 
Thats my sweet little sisy...........naona HakiElimu umeikamata ipasavyo.....SIDANGANYIIIIKIIIII.

Haya nambie Acid naye kakufanyia vije?? (Sema taratibu asisikie)

Mjukuu umeanza lini umbeya? Babu atakuchapa, ala! Hebu huko....... niitie bibi yako, babu nna kiu hapa.
 
Tena hapo ndo haswaaa pamenifanya niandike hii...ulikuja mpaka huku ukaondoka hivi hivi
kwa hili maswahiba watanitetea maana nilisema kabisa niko lahore na js simpati... nikaishia kula mipilipili hadi ile shughuli ya toilet nikawa naenda na ice packs

we mtoto wewe, basi tu:teeth:
 
Mjukuu umeanza lini umbeya? Babu atakuchapa, ala! Hebu huko....... niitie bibi yako, babu nna kiu hapa.
babu mekugaya.......ndo nini na wewe kunifanyia hivyo? Au unataka nami nikupandie hewani kama JS eh?

Babi hayupo jana usiku alisema anakwenda kwenye mkutano na kaka shamba..............hajarudi bado.
 
kwa hili maswahiba watanitetea maana nilisema kabisa niko lahore na js simpati... nikaishia kula mipilipili hadi ile shughuli ya toilet nikawa naenda na ice packs

we mtoto wewe, basi tu:teeth:

sasa unachukia.....Acid mi sikujua unakuja huku lakini unakumbuka nilikupaga email tuwasiliane lakini hukufanya hivyo?? sasa am paying seriously na imebidi nilete upande huu kwa maswahiba....
 
sasa unachukia.....Acid mi sikujua unakuja huku lakini unakumbuka nilikupaga email tuwasiliane lakini hukufanya hivyo?? sasa am paying seriously na imebidi nilete upande huu kwa maswahiba....

Phweeeh.............ehe..........endelea mamii
 
Back
Top Bottom