Acid!!

Anatumia line gani huyo mpwa? I believe is nothing to do with the tiGo one!
Mchungaji... mtoto nimemfuata mpaka Lahore, kakauka simu hapokei, email hajibu... sasa sijui nini tena kimemkuta huko kwa akina perves musharraf yarrabi!!!

Natumia line ya tIGO na bidada anaijua

MJ1... kanseling pliz our baby needs immediate attention:redfaces:
 
Yaani nilivyosoma nilishtuka mpaka basi, nikajua leo ndio ID revelation imeanza

Phew!!!!!

haya mdogo wangu hebu niambie nini tena kimetokea hadi unitamke kama niko juu ya kifua ati?

Si umenisusa kabisa, hunijibu message zangu na unajua jinsi gani navyopenda kusikia toka kwako........
 
Hii thread babu kapotea njia. Kwaheri Acid na dada yangu JS.
 
Mkuu Acid, with all due respect kwa nini unamfanyia JS kwa namna ambayo hapendi kufanyiwa? Hujamalizaga twisheni yetu ile?
 
Nacheka tu hapa mwenyewe .........JS vipi mdogo wangu?? mganda kaachia ngazi nini au??
ndugu yangu weee.... naona kuna haja ya kutumua mtu aisee akacheki hali ya mwanetu, maana naona kama yule jamaa wa mikono ya sweta keshaharibu

JS: ushawahi kusoma tenzi ra rohoni weye? Muulize MJ akupe kopi
 
The Following 4 Users Say Thank You to JS For This Useful Post:

Acid (Today), Asprin (Today), Kaizer (Today), MwanajamiiOne (Today)​

Today 01:36 PM

Jamani hizi thanks za nini? si afadhali mngenipa mimi!

Acha niongeze namba za thanks kidogo na wewe basi nina muda mrefu sana sijapata thanks.......hao wapwa hao wanajua kwa nini nimesema hivyo...hihihi
 
Nacheka tu hapa mwenyewe .........JS vipi mdogo wangu?? mganda kaachia ngazi nini au??

Poa tu mwaya dada MJ1..mganda kidogo anioe alienda kununua na pete kabisa (gold ya ukweli) akidhani nitakubali kuwa naye...wapiiii na bado nikamtosa mazima na naendelea kumtosa.
 
ndugu yangu weee.... naona kuna haja ya kutumua mtu aisee akacheki hali ya mwanetu, maana naona kama yule jamaa wa mikono ya sweta keshaharibu

JS: ushawahi kusoma tenzi ra rohoni weye? Muulize MJ akupe kopi
Mi nkajua ulivyoenda kule ulikwenda ozesha kwa huyu sebbo sasa kimesanuka lawama zarudi kwako!! Ah

JS................ haya tujuze kakutendani huyu Acid?
 
Si umenisusa kabisa, hunijibu message zangu na unajua jinsi gani navyopenda kusikia toka kwako........

Sasa nimeelewa, cousin with all due respect just do the nidful haya malalamiko yanaenda beyond borders halafu mganda anywayz forget it
 
Poa tu mwaya dada MJ1..mganda kidogo anioe alienda kununua na pete kabisa (gold ya ukweli) akidhani nitakubali kuwa naye...wapiiii na bado nikamtosa mazima na naendelea kumtosa.

Dah!!! Mtoto mbaya wewe
 
Back
Top Bottom