Acheni unafiki clouds na watangazaji wenu

wajojo

Senior Member
Apr 29, 2013
155
83
Nimeshangaa sana eti kusikia show ya mwana fa haikufanya vizuri kutokana na kuwa eti kuna watu walitangaza kuwa ticket zimeisha ndo maana wengi hawakwenda,aliyetangaza kuwa ticket zimeisha ni BDOZEN na GEAR pamoja na DINA MARIOS tena kwa mbwembwe sasa apa walitaka sijui ionekane kuwa show ya fa ilipata mashabiki wengi au vipi,wanajua wenyewe,sasa hivi show yenu imebuma mnaanza ooh watu walitngaza kuwa ticket zimeisha ndo maana watu hawakuja,what a non sense,kama kujiroga mmejiroga wenyew,iweje mtafute mchawi now???,hizo ni hoja dhaifu,wenyewe waliropoka hadi fa kuwa walitaka watu mia nne tu na kuwa wameshatimia,sasa kelele za nn??,mkubali tu kuwa mmepigwa bao
 
M.Ayo amesema iliandaliwa kwaajili ya watu 400 tu,

wengine wanasema haikufana kwa sababu ilihujumiwa tumwamini nani.?

au mnajitekenya na kucheka wenyewe.!!
 
Na ile asilimia 15% kwenda kwa mama Ngwea asije ingia nayo mitini kisa show imebuma. Ahadi ni deni bitoz FA

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
CLOUDS IS LOOSING ITS POPULARITY....kwa sababu wana watangazaji wa ajabu ajabu ambao kama wana akili za kitoto kitoto...ukiacha ayo, husein labda na jamaa wa michezo wale...wengine wanatia mashaka kwenye uwezo wao wa kuangalia na kuchambua mambo...
 
M.Ayo amesema iliandaliwa kwaajili ya watu 400 tu,

wengine wanasema haikufana kwa sababu ilihujumiwa tumwamini nani.?

au mnajitekenya na kucheka wenyewe.!!

TOO MUCH EXCUSES LOL !
si wakubali tu kuwa show ilikuwa doro
 
CLOUDS IS LOOSING ITS POPULARITY....kwa sababu wana watangazaji wa ajabu ajabu ambao kama wana akili za kitoto kitoto...ukiacha ayo, husein labda na jamaa wa michezo wale...wengine wanatia mashaka kwenye uwezo wao wa kuangalia na kuchambua mambo...

kwenye ile show yenyewe walikuwa full umbea,
show ilikuwa kama wamepata sehemu ya kusemana
 
CLOUDS IS LOOSING ITS POPULARITY....kwa sababu wana watangazaji wa ajabu ajabu ambao kama wana akili za kitoto kitoto...ukiacha ayo, husein labda na jamaa wa michezo wale...wengine wanatia mashaka kwenye uwezo wao wa kuangalia na kuchambua mambo...

watangazaji hawana tatizo tatizo ni kuna muhaya mmoja hiv anaitwa rugwe kila mtu anamlalamikia hadi wafanyakazi wake
 
kama mbwai iwe mbwai barida, we make mo' money rest in peace shida - Prof. J,ndani ya joto hasira.
aibu yao radio ya wafu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom