MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Kwa nyakati tofauti Leo ( Jioni Saa 12 kuelekea Saa 1 ) nimepita katika hizi ( hizo ) Shule FEZA na St. Mary na kukuta Watoto wapo Kimya Madarasani mwao wanajisomea na nilipopita katika Shule za Kawaida ( za Mangumbaru ) nikawakuta Watoto wapo Madarasani wanavuta Bangi, wanaangalia Picha za Ngono katika Simu zao na wengine hata Kunisalimia wameshindwa na walichoniuliza ni kama Mkeka wa Kubeti wa kwa Muhindi wa leo unasomeka wakacheze zao.
Hizi Shule za 'Kishua' nimegundua kuwa zinafundisha sana na kwa bidii zote na wala haziibi Mitihani ili ziwafaulishe Wanafunzi ( Watoto ) wao kama ambavyo tunasema kila Uchao.
Hizi Shule za 'Kishua' nimegundua kuwa zinafundisha sana na kwa bidii zote na wala haziibi Mitihani ili ziwafaulishe Wanafunzi ( Watoto ) wao kama ambavyo tunasema kila Uchao.