ha ha ha haKuna mwanangu aliwahi kutuma nauli, akapika maini kilo moja na nusu na kitimoto rost cha kutosha friji ikawa imesheheni halafu shemeji yetu mpendwa hakuja vile vinywaji na mapochopocho ikabidi tufanye tu tafrija.. jamaa alichukia sana lakini hakua na namna toka siku ile demu akifika vitu ndo vinaanza kukangizwa
Kweli mkuu,ila imenisaidia kutafuta sababu ya kuvunja uhusiano kwa sababu miezi miwil mbele kulikuwa na shinikizo ya malipo fulani...na mimi nataka nibane matumiziAfadhali hata ungekuja KUBETI huku kwenye AFCON hapo umechemka.....
we acha tu mkuuMkeka umechanika
Ndio hivyo mkuuUsitume tena naul
Niombee mkuuKwa kweli nachukia watu wanaoendekeza michepuko, nikiwaona najisikia kutapika
Nikuombee kwa nani wakati hata Mungu humuamini?Niombee mkuu
ha ha ha ha ha imebidi nicheke tu mkuuNikuombee kwa nani wakati hata Mungu humuamini?
Lol bebi uwe na hurumaUkome!!
Ha ha ha,umenikumbusha mkuu nilimgegeda mtoto mmoja matata sana kwa makubaliano nimpe 250,000/=ili anivulie pichu,nikasema sawa naomba nikutumie kwa tigo pesa,nikatuma mzigo akapokea,nikaona yuko full tabasamu nikachukua logde nikala,baada ya masaa matatu nikarudisha muamala na kumtumia 20,000/=tu,kwani hujasikia siku izi kuna huduma ya kurudisha muhamala bila kuwasiliana na wakala??
ha ha ha ha inafurahisha sana
Kwahiyo tayari umeshatapika.Kwa kweli nachukia watu wanaoendekeza michepuko, nikiwaona najisikia kutapika
kwani hujasikia siku izi kuna huduma ya kurudisha muhamala bila kuwasiliana na wakala??