Acheni kuwanyanyasa wafanyakazi wa ndani

Mzee Shirimaa

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
1,539
3,440
Chauma oyeee..!

Kumekuwa na katabia kabaya kwenye familia zetu kuwanyanyasa Hawa wasaidizi wa ndani kuwaona wao ni wakosaji kila mara ...pale binadam tunakosa ubinadam kabisa kuwatenga ,kuwanyima chakula Kama njia ya kuwa adhibu pale wanapokosea
Niwakumbushe wote ambao mnakaa na Hawa watu wakuitea ma beki tatu

" Huyo mtu ukiona kazunguka kote mpka kaja kukaa kwako ,kaja kukufanyia kazi ujue asilimia 90% ana mapungufu.. ukute alishindwa shule ,kakulia familia ambayo malezi Ni ziro,unyanyasaji wa kijinsia ,kutengwa nk ...kwa hyo ukiamua kukaa nae ujue unakaa na mtu mwenye mapungufu akikosea usimlaum Bali muelekeze kwa sababu shida zako ndo zilikufanya uamue kukaa na mtu mzima mwenye mapungufu yake.

Uzi tyari
 
sasa kama atakuwa anawashwa mkuu nikasema nimkune ntakuwa nimemnyanyasa maana anakula vizr anashiba atakuwa anasumbuliwa na mkazo wa hisia
 
sasa kama atakuwa anawashwa mkuu nikasema nimkune ntakuwa nimemnyanyasa maana anakula vizr anashiba atakuwa anasumbuliwa na mkazo wa hisia
Kumkuna beki tatu Apo sio kumyanyasa Ni kumpa haki yake ... Kwenye ukunaji mkumbuke kizazi kipo karbu
 
Wenye wadada wa kazi mnatakiwa muwape malezi kama mnayowapa watoto wenu.

Ukimtreat vibaya, siku akichafukwa utakipata cha mtemakuni (sikutishi)
 
.
Screenshot_20200903-201335.jpg
 
Back
Top Bottom