Acheni kutembea na wake za watu

Kuna video nilikutana nayo mahali mwanaume hana nguo anatandikwa sijui na mke wake haikua na full details. Nikasema mambo yamegeuka
 
Habari zenu wakuu niende kwenye mada moja kwa moja siku mbili zilizopita ikiwa nipo bandarini mida ya saa tatu usiku baada ya kupakia mizigo kwenye ikiwa nasubiria maji ya usiku ili nisafiri kabla ya kuondoka nikaona niende nikachakate kidogo mbusu maana nahodha kila bandali hakosi jiko.

Nikawaacha vijana wangu baharia pale Pwani mi nikapandisha juu wakati natembea nikakutana na watu watatu mmoja akiwa amebe kiroba ila kikubwa kabla hawajanipita nikawasalimia jamaa aliitikia mmoja tu mara ghafla nikasikia sauti kutoka kwenye kiroba kaka nisaidie wanaenda kunitosa hawa baharini jamaa kwa mstuko wakatupa lile roba wakaziokota mbio mimi nikaliendea lile roba kulifungua nakutana na jamaa yuko hoi bin taaban namuuliza kulikoni akaniambia kuwa amefumaniwa na mke wa mtu kwaiyo wamempiga na ilikuwa akatoswe baharin acheni wake za watu.
Hii chai nimeisoma kama ile hadithi ya awafu mwenye nguvu!
 
Alikuwa amefanya hicho ulichotaka kwenda kufanya.Nadhani uligeuza kurudi melini.
 
Habari zenu wakuu niende kwenye mada moja kwa moja siku mbili zilizopita ikiwa nipo bandarini mida ya saa tatu usiku baada ya kupakia mizigo kwenye ikiwa nasubiria maji ya usiku ili nisafiri kabla ya kuondoka nikaona niende nikachakate kidogo mbusu maana nahodha kila bandali hakosi jiko.
Mkuu usitutishe, sisi wengine tunapendwa na hao wake za watu na wala hatutongozi, sasa tufanyeje? Nina miaka kibao sitongozi mwanamke ila natongozwa tu na wake za watu, sasa unataka nifanyeje mkuu?
 
Njoo haya maeneo alafu useme kahawa wiki ilipita nilimsafirisha jamaa mmoja yani anahama kabisa yeye pia kafumaniwa alafu kaliwa na mafuta ya kassa jamaa kwa aibu akahama sababu kila watu wakimuona yeye wanajifanya kumuuliza mafuta yanauzwa wapi.
Nioko zako sana wewe hahahaha
 
Back
Top Bottom