Acheni kuroga watoto wa wenzenu ata ninyi mumezaa

kamituga

JF-Expert Member
May 31, 2019
1,195
1,919
Wandugu siku za ivi karibuni kumekua na wimbi la wazee kutoka na vijukuu vyao au wakaka wa makamo na watoto wao/umri sawa na watoto wao kimaadili unaona ni mzee mwenye heshima zake.

Kumbe asilimia kubwa ni masharti ya waganga na wanachotaka ni nyota za hao watoto ambazo bdo zinabahati ya biashara .pesa nk

Wadogo zangu munasema vibabu vinafungua wallet? anacho chukua kwako ni mara mia ya iyo laki 3 anayo kuonga utaishia kua mzururaji nyota babu ameiramba mambo yake na familia yake yananyooka.
 
Bila kumtajabTulia unadhanj usinge uleweka
Mimi nilishudia kabisaa mbauda Chugga dogo karogwa kisa kafaulu la saba. Yani alikuwa anajirusha juu kima cha Tulia ackson na kujiangusha kichwa chini kwenye kokoto. Wanyiramba na warangi aisee ni hatareee
 
na nyie vijana mnaopenda wake za watu wenye fedha chukua hii...kuna watu wana masharti na wamemtega wake zao,,ukitembea nae ujue ridhiki zako zote zinahamia kwake,,wewe utaishia kuhongwa 50k kwa wik wakati unawaingizia 1m...hujawah kuona mke wa tajiri anagawa hovyo na wala bwana wake hafuatilii..!? and that is how it works
 
Umenena vema brother!!!!!
 
Wandugu siku za ivi karibuni kumekua na wimbi la wazee kutoka na vijukuu vyao au wakaka wa makamo na watoto wao/umri sawa na watoto wao kimaadili unaona ni mzee mwenye heshima zake.

Kumbe asilimia kubwa ni masharti ya waganga na wanachotaka ni nyota za hao watoto ambazo bdo zinabahati ya biashara .pesa nk

Wadogo zangu munasema vibabu vinafungua wallet? anacho chukua kwako ni mara mia ya iyo laki 3 anayo kuonga utaishia kua mzururaji nyota babu ameiramba mambo yake na familia yake yananyooka.
Wivu
 
Back
Top Bottom