Acheni kupotosha alichokuwa amesema Tundu Lissu kuhusu Acacia na MIGA

Now you're talking... can you highlight that untruth thing from my thread?!
The key aspects of his arguments was that , by revoking acacia ownership or their properties including "makanikie" the Government would be in breach of the So cold "Miga" and as the result of it the Government is going to face the consequences for doing so, but so far nothing like that had happen against the Government other than the acacia to succumbed to a hostile take over . So at the end of the day acacia has been the loser
 
Mkuu chige naomba maoni yako kuhusu hizi initiative zote za serikali ya JPM,
1:Je kuna positive outcome yoyote iliyopatikana au itakayopatikana au serikali ingekaa tu kimya na kuendelea as usual na Accacia?
Uncle Magu did the right thing but poor approach was applied! Positive outcome, mosi ni ule uwezekano wa kulipwa zile USD 300M kwa sababu kama sio hiyo initiative, hizo 300M zisingepatikana!

Pili, sio Acacia peke yake bali hata kampuni zingine za madini (in short, WOTE NI WEZI TU) nadhani watakuwa more careful wanavyofanya wizi wao! Kwa maana nyingine, ule wizi wa kirahisi rahisi kwa sasa watauweka pending!

Tatu, ingawaje basically suala la 16% halina uhusiano wa moja kwa moja na Acacia, kutikiswa kwao kumewafanya Acacia waridhie suala la 16% bila kupinga pinga! Walilazimika kufanya hivyo kwa sababu Barrick walitaka kujionesha wao ni mtoto mwema ambae yupo tayari ku-comply na sheria za nchi!

So, it's a very good move! Binafsi mambo mengi huwa natofautiana na Magu kutokana na approach zake tu!

Hapo juu nimesema alitumia poor approach kwa sababu kazi ile isingefanyika kwa mihemuko, Acacia wangekuwa cornered na hatimae kuwa na one of the two options... to pay more... more than ile 300M ambayo wanatarajia kutoa, au kufungasha virago!

Na kama wangefungasha virago, tungekuwa na basis ya kuwafikisha hata kwenye mahakama za kimataifa kwa sababu, endapo uchunguzi ule tungeufanya kiweledi zaidi, basi am very sure ungetoa matokeo ambayo yangeweza kuwa na nguvu za kisheria dhidi ya Acacia.

Kosa kubwa ambalo tulifanya ni kufanya utafiti ule peke yetu bila kuhusisha upande wa Acacia! Matokeo yake, wakagoma kukubali matokeo ya utafiti ule, and of course, walikuwa na hoja ya kutokukubali!!

2:Je ushauri wa TL alioutoa ungefuatwa je kungekuwa na matokeo bora zaidi ya haya yaliyofikiwa?
Ungefuatwa with a caution, am certain ungetoa matokeo bora zaidi! Nimesema ungefuatwa with caution kwa sababu TL ni Mwanasiasa. Ingawaje ushauri wake ulikuwa ni mzuri na haukuwa wa kisiasa, lakini pia ni ushauri ambao ulipaswa kuchukuliwa kwa umakini kwa sababu kinyume chake, unge-backfire! Na endapo unge-backfire, TL yule yule ambae alitoa huo ushauri, angeanza tena kuwa-stab back!
3:Je report za Ossoro na Mruma ni kweli zilikuwa proffessional rubbish kama alivyosema TL? Kwa maoni yangu mimi zile report hasa ya Ossoro(economical ) ndiyo ili-trigger haya majadiliano na for sure i can say it was the good move by our government.
Nawasilisha mkuu
Hili wala sitapepesa macho... YES, IT'S PROFESSIONAL RUBBISH!

Naona uvivu kutafuta post zangu za ile siku Professor Mruma anawasilisha ile ripoti! The very same day, nilizungumza hapa kwamba hizi takwimu ni kiroja!! Na wala sikutumia nguvu kugundua "rubbishness" ya zile takwimu!

Nilijumlisha tu figures za dhahabu alizokuwa anasoma Professor Mruma kwa kila kontena, nikazidhisha mara idadi ya makontena ambayo yaliwepo, nikazidisha tena kwa idadi ya makontena yanayopatikana mwaka mzima... nikapata idadi ya dhahabu inayotokana na makinikia PEKE YAKE! '

Idadi hiyo nikajumlisha na dhahabu isiyotokana na makinikia, nikajumlisha na dhahabu inayochombwa na kampuni zingine zote... jibu nililokuja kupata nikakuta Tanzania sio tu tunawazidi Afrika Kusini kwa dhahabu tunayozalisha bali tunazipita hata zile largest gold producers kama Russia, Australia, China and USA!

Available geological data on gold doesn't support Mruma's Findings!!!

Kuhusu ni Ripoti ya Ossoro ndiyo ili-trigger yale majadiliano ni kweli, lakini kama ni sifa anayestahili sio Ossoro bali Mruma kwa sababu Ossoro na timu yake walichofanya ni ku-monetize tu zile takwimu za Mruma! Hata hivyo, Mruma kamfanya Ossoro aonekane kituko kwa sababu ni figures za Mruma ndizo after Ossoro's economic analysis, zikaja takwimu zinaonesha "a sister company" Acacia is much bigger kuliko a parent company iliyokuwa na Market Cap ya less than USD 40B.

Ingawaje hili watu wanalichukulia kirahisi rahisi tu kwamba lazima utengeneze figures za kutisha ili uwabananishe vizuri lakini ukweli ni kwamba, mbele ya watalaamu Tanzania tulionekana inawezekana ni kweli tunaibiwa lakini hatujui tunachoibiwa hasa ni nini!!

It's like unampeleka Young Killer mahakamani kwamba amekuibia gunia la mchele lenye uzito wa kilo 200 halafu unaulizwa kaibaje ibaje, unasema alijitishwa akakimbia nalo!!!
 
The key aspects of his arguments was that , by revoking acacia ownership or their properties including "makanikie" the Government would be in breach of the So cold "Miga" and as the result of it the Government is going to face the consequences for doing so, but so far nothing like that had happen against the Government other than the acacia to succumbed to a hostile take over . So at the end of the day acacia has been the loser
Take a breath, and listen to this video A-Z, I insist, A-Z... it's ONLY 3 minutes, 40 seconds video long!

I'm insisting on the listening of the whole video because people who manipulated what TL said, only used the first half of the video and ignored another half!

Here's the video

Thereafter, tell me if there's anything wrong with what TL said!
 
compared to walichokuwa wanapata Japan sir....

Nn ngumu kuelewa?
Ama unataka Acacia wakuone waanze kukutumia kama Lissu?
Walichokuwa wanapata Japan kipi?! Ina maana walichokuwa wanapata Japan ni tofauti na zile trillions kadhaa alizotaja Profesa Ossoro, au? Kitaje hapa walichokuwa wanapata huko Japan manake inaonesha wala hufahamu yale makinikia yakienda Japan what happens thereafter!!
 
kuna namba 16% hujaiona
kuna 50/50 hujaelewa.
Ntakusaidiaje kuanzia hapo mkuu?
Hivi una habari kwamba suala la 16% linatokana na Sheria ya Madini ya 2010 ambayo inaitaka serikali kuwa na Free Carried Interest Share na wala halitokani na suala la Acacia?!

Ndo maana nasema hili taifa watu kama nyie ndio mnarudisha nyuma maendeleo manake badala ya kufurahia 16% za Acacia watu tulitakiwa kuulizia shares toka kwa kampuni zingine za madini kama inavyotaka sheria ya madini!

Mbaya zaidi, mnafungia kibwebwe shares kutoka kampuni ambayo CEO wake ameshasema na akina Kabudi wamekubaliana nae kwamba inahitaji effort ya kutosha ili kampuni iweze ku-recover from 3 years destruction! Hivi ulishajiuliza mara mbili kauli hiyo inamaanisha nini kibiashara in relation to dividends per share?
 
Kwa kuwa ilishasemwa kwamba IQ ya watanzania is among the lowest in the world hutakiwi kuhangaisha kichwa kuhusu tathmini ya watu esp wa ccm kuhusiana na hoja zozote critical of the establishment.
It amounts to sinking very low.
 
nafahamu ninachofahamu so kama una fahamu zaidi weka nondo hapa.

You aint my teacher kuniomba data...

JPM alizuia kontena kutokana na kutokuwa na ukweli na uwazi wa kinachopatikana kutokana na mchanga.

Kama alidanganya basi waambieni Acacia wakashitaki MIGA.
Walichokuwa wanapata Japan kipi?! Ina maana walichokuwa wanapata Japan ni tofauti na zile trillions kadhaa alizotaja Profesa Ossoro, au? Kitaje hapa walichokuwa wanapata huko Japan manake inaonesha wala hufahamu yale makinikia yakienda Japan what happens thereafter!!
 
And what was 4%?
how come haipo kwenye makubaliano mapya?
ukitaka kudanganya nukuu sheria fake kisha twist ukweli kidogo ... changanya na english.

Acacia wamekuona boss watakupa ajira

Hivi una habari kwamba suala la 16% linatokana na Sheria ya Madini ya 2010 ambayo inaitaka serikali kuwa na Free Carried Interest Share na wala halitokani na suala la Acacia?!

Ndo maana nasema hili taifa watu kama nyie ndio mnarudisha nyuma maendeleo manake badala ya kufurahia 16% za Acacia watu tulitakiwa kuulizia shares toka kwa kampuni zingine za madini kama inavyotaka sheria ya madini!

Mbaya zaidi, mnafungia kibwebwe shares kutoka kampuni ambayo CEO wake ameshasema na akina Kabudi wamekubaliana nae kwamba inahitaji effort ya kutosha ili kampuni iweze ku-recover from 3 years destruction! Hivi ulishajiuliza mara mbili kauli hiyo inamaanisha nini kibiashara in relation to dividends per share?
 
Hoja ni ho
Ngoja nikwambie kitu mkuu,
Unajua kwamba mtu anaweza akawa anazo HOJA za msingi kabisa katika jambo fulani lakini tatizo kubwa likawa ni jinsi gani huyo mtu anawasilisha hizo hoja zake kwa wahusika?

Ni sawa tu na mtu anayo story nzuri yenye mafunzo mengi/vichekesho vingi,lakini tatizo lake hajui jinsi ya kuiwasilisha kwa ufasaha hiyo story mbele ya hadhira yake ili watu wajifunze kweli/wacheke kweli kweli kama alivyotaka yeye.

Utaona kwamba jamaa alishindwa hapo hata kama alikuwa nazo kweli hoja zilizokuja kufanyiwa kazi mbeleni,
Mtu mwerevu anajua jinsi ya kuwasilisha hoja zake smartly na lengo lake kutimia bila kuleta mambo ya sijui rubbish na majigambo mengine ya kijinga tu,ambayo yatawafanya wengine wakuone mpuuzi tu hata kama kweli unazo hoja za msingi.
Hoja si namna alivyowasilisha hoja, la hasha. Hoja ni kuwa hoja nzito iliangukia kwenye vichwa vya panzi!!!
 
nafahamu ninachofahamu so kama una fahamu zaidi weka nondo hapa.

You aint my teacher kuniomba data...

JPM alizuia kontena kutokana na kutokuwa na ukweli na uwazi wa kinachopatikana kutokana na mchanga.

Kama alidanganya basi waambieni Acacia wakashitaki MIGA.
Unaonesha wazi huu mjadala umekushinda au umekuzidi umri!

Mara zote nimekuuliza ukweli upi, unashindwa kuutaja kwa takwimu! Unadai walikuwa wanadanganya... na nimehoji hapa kama walikuwa wanadanganya ukweli si utakuwa ule wa akina Mruma wa kuwadai trilioni 108 (bila penalty)? Sasa how come tena ukubali kuchukua 700B out of trillions ?!

Halafu usichokijua ni kwamba, hadi sasa Ripoti ya akina Mruma haitambuliki hata na hao Barrick wenyewe!

Kwa maana nyingine, kile kile ambacho kilikuwa kinapatikana kutokana na makinikia siku za nyuma, ndicho hicho hicho kitaendelea kupatikana kuanzania sasa!!
 
And what was 4%?
how come haipo kwenye makubaliano mapya?
ukitaka kudanganya nukuu sheria fake kisha twist ukweli kidogo ... changanya na english.

Acacia wamekuona boss watakupa ajira

Unaona sasa... ndo maana nakuambia huelewi kitu!! Tafuta Sheria ya Madini ya 2010 uisome!! Na kama nilivyosema jana, narudia hapa! Nyie watu siku Magufuli akisema kama si yeye pasingekuwa na Chuo Kikuu cha Dar es salaam, bado mtashangilia na kuamini!!!
 
Ni mapumbavu Sana haya. Yaani kazi kusifia kijuha wakati mtu anabomoa misingi yetu ya umoja!!!
 
Wewe ungependa tuwe na kiongozi wa nchi ambaye anaruhusu wabunge wake wapigwe risasi na asifanye bidii kutafuta huyo mhalifu???
Watz tumekuwa watu wa aina gani???
Umeona misaada ni muhimu kuliko kuwa na uongizi bora??? Lissu alitaka Tz ibanwe ili tuwe na uongozi bora unaojali haki za binadamu!!
Ama wewe unajijali mwenyewe na hujali maisha ya wengine???
Lissu alitaka nchi ibanwe misaada ili serikali iheshimu watu wite na siyo watu wa chama kimoja tu!!
Kwa hiyo acheni madharao hayo!!
 
Back
Top Bottom