Acheni kumbeza Mzee wa Msoga

Wagombea wa Kikwete Membe na Migiro hakuna aliyefika tatu bora.

Tatu bora waliingia January Makamba, Amina Ally na Magufuli.

Kura halali Amina Ally kutoka Zanzibar ndio alishinda.

Hili la Samia kuwa Rais ni haki ya Wazanzibar na wanawake waliyoporwa na wahafidhina tangu mwaka 2015,

Wengi mnaweza kushangazwa huyu mwanamke alishindaje ni kundi la Lowasa ndio lilikuwa na kura za maamuzi na ndio maana walianza kumshughulikia Membe mapema.

Ccm kupinduwa matokeo ni mabingwa, kama mna akili timamu jiulizeni yule mama mpaka leo yuko wapi? Je kwanini yeye hakuteuliwa kuwa mgombea mwenza?
wewe ni zuzu kweli, yawezekana mwaka 2015 ulikuwa darasa la pili hujui lolote.Tatu bora waliingia Magufuli, Migiro na Amina Salum, kama hujui kaa kimya.
 
wewe ni zuzu kweli, yawezekana mwaka 2015 ulikuwa darasa la pili hujui lolote.Tatu bora waliingia Magufuli, Migiro na Amina Salum, kama hujui kaa kimya.
Zuzu Baba yako mzazi kenge wewe, niliyekuwa najadili naye alishanikumbusha kwenye post za nyuma na nimemuelewa nakushangaa wewe unakuja kukatika mauno hapa hutapigwa pipe.
 
Ni kweli ila Mungu anatumia watu, na ndio akamtumia JK. Angeweza hata kumsingizia case amfukuze uanachama au kumtumbua uwaziri ili ampoteze kisiasa, kwani alikuwa na mamlaka kwa wakati ule, tena mamlaka makubwa mno, ila mzee wa watu hakuwa na hiyana.

JK, JPM! Wote ni wachapakazi ila wametofautiana kiutendaji, JK hakuwa mkali ila JPM alikuwa mkali.

Watu waovu na wapigaji walitumia upole na ukimya wa mzee JK kufanya maovu na kumchafulia jina, ila mzee alikuwa kimya tu hakudili nao. Kama mnavyojua mzee wa Msoga alikuwa ni mtu mwenye haya mno katika suala la kumtumbua mtu au kumuwajibisha mtu.

Waovu wakatumia udhaifu huo wa JK.

Tuwaombee wastaafu na kuwapongeza mno kwa kazi ngumu ya kudumisha amani katika kukabidhiana vijiti. Heko kwao, huo ndio uzalendo na Utanzania.
Hizo zote ni mbwembwe na kutaka huruma ili jk apewe sijui nini unachotaka, ila kanuni huwa haipindishwi kwa maneno but hubaki pale pale.

Falsafa ya Mola ni kuwa "
muda ukifika wa wewe kuwa juu hakuna awezaye kukushusha, mpaka muda wako ukiisha"

Ilikuwa lazima Late John Joseph awe Rais, Kikwete hakuwa na uwezo wa kukata wala kumfukuza uwanachama maana wakati ulikuwa umejiri ili Legendary aonyeshe umwamba.
 
Salaam! Msema kweli mpenzi wa Mungu, hivi nyie mnaosema eti jiwe alikuwa akimtukana hadharani mzee wa Msoga, ni wapumbavu?

Bila Mzee wa Msoga(MS), Jiwe angekuwa Rais? Alikuwa na uwezo wa kukata jina lake kwenye list ya watia nia kwani alikuwa mwenyekiti wa chama, ila halufanya hivyo.

Je, mbona hakumtumbua uwaziri kama alimchukia?

Kubalini au kataeni ila MS ana historia na mchango mkubwa sana mpaka Jiwe kuwa Rais, Jiwe mwenyewe aliwahi kukiri hili.

Japo kuna ukakasi wakati alipokuwa anatoa madongo kimafumbo kwa MS, hapo ndio pagumu ila haimaanishi chochote, ni masuala ya kisiasa tu.

Nawasilisha, wajuzi njoeni hapa!
Namfagilia sana huyu dingi baba.Big up JK.
 
Back
Top Bottom