Acheni kulala chumba kimoja na watoto

Mitchell

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
737
714
Ilikuwa hivi: Mtoto alikuwa na tabia ya kukojoa kitandani sasa mama akawauliza jirani zake dawa ni nini, wakamwambia ni fimbo tu ili akijaribu kukojoa akikumbuka fimbo ataacha.
Asubuhi iliyofuata akaitwa na mama yake mbele ya wale majirani waliopendekeza achapwe akaanza kumchapa kwanini una tabia mbaya ya kukojoa kitandani kila mara? Huku anaendelea kumchapa, mtoto huku akiwa analia sana akajibu, mbona baba naye anakojoa usiku tena unamwambia Kojoa dear.
 
Hii ilishawahi kuandikwa na gazeti moja kama sikosei la sani enzi zile za zamani
 
Back
Top Bottom