Acheni kuamini vitu vya zamani ni vizuri kuliko vya sasa.

Pacbig

JF-Expert Member
Oct 15, 2017
1,095
2,079
Katika pitapita zangu nimegundua mambo ya zamani mara nyingi (japo sio zote) huwa yanapendwa kuliko ya sasa sijui sababu ni nini.ngoja nitoe mifano.

Ukileta battle ya mfano Mr bean vs Charlie Chaplin watu watakuambia Chaplin mkali.japo wamemuona zaidi Mr bean.

Ukileta battle ya Messi vs Maradona wengi watadai Maradona japo wengine hawakuwahi hata kumushuhudia Maradona mwenyewe.

Ukimulinganisha Keisha Cole na Taylor swift watu watadai keisha cole mkali.

Magufuli na nyerere,Nyerere ni bora wakati wengine kipindi nyerere akiwa madarakani walikuwa hawajazaliwa.

Marijan Rajab na Diamond ni vilevile.

Sasa nawachana muache ushamba wa kushabikia na kuamini kila kitu cha zamani ni kizuri kuliko cha sasa.Ndo maana mnaona hata doggy style ni mbaya ila mnataka kuisifia kifo cha mende.

Acheni mambo ya kizamani tuacheni na usasa wetu.
 
Ushawahi kula Tako la zamani kabla Mchina hajaingia Maabara kutengeneza Matako ya kughushi ya Kisasa?

Wanawake watamu wameishia wale wa kabla ya 1990s, Nahisi Kizazi cha 1990s hakijazaliwa na utepe ndo maana wako Kama kuku wa kizungu, ukifumba macho hisia zinapotea kama 'unakula' maana vya baridi utadhan vimekesha kwny friji!

Siku nyingine usifananishe vya zamani na vya sasa
 
Back
Top Bottom