yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,527
- 1,405
*nilikua sipendi kabisa kutamka hili mbele za watu haswa kwa *wazee wenye heshima zao, labda kidogo nilikua naweza kuwaambia wanaume wenzangu ambao tunashea siri,Leo hii acha niwe muwazi ukizingatia humu akuna anayeninifahamu na hilo hapo juu sio jina langu halisi.Nawaambieni kweli ila msinione Mtu wa ajabujamani,mnichukulie kama kijana mwenzenu,msininyayapae kwani kila mtu na starehe yake.Nawambieni kweli mm mpenzi *saaaaaaaaaaaaaaaaaaana wa mtandao wa simu za mkononi wa Tigo..Sbb kubwa mtandao wao ni rahisi na umeenea alafu nlianza kuutumia tangu enzi zile mshamba wa simu. hata hapa nilipo natumia modem yao.Napia matangazo yao redoni na kwenye tv yananivutia ..Je ww unapenda mtandao gani?