Acheni kabisa jamani, mwenzenu napenda Tigo,Duuuu!!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,467
1,274
*nilikua sipendi kabisa kutamka hili mbele za watu haswa kwa *wazee wenye heshima zao, labda kidogo nilikua naweza kuwaambia wanaume wenzangu ambao tunashea siri,Leo hii acha niwe muwazi ukizingatia humu akuna anayeninifahamu na hilo hapo juu sio jina langu halisi.Nawaambieni kweli ila msinione Mtu wa ajabujamani,mnichukulie kama kijana mwenzenu,msininyayapae kwani kila mtu na starehe yake.Nawambieni kweli mm mpenzi *saaaaaaaaaaaaaaaaaaana wa mtandao wa simu za mkononi wa Tigo..Sbb kubwa mtandao wao ni rahisi na umeenea alafu nlianza kuutumia tangu enzi zile mshamba wa simu. hata hapa nilipo natumia modem yao.Napia matangazo yao redoni na kwenye tv yananivutia ..Je ww unapenda mtandao gani?
 
Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
46,404
62,431
Mmmmh, hebu subiri kama vile sijakuelewa, ngoja nimalizie kitimoto yangu maana tamu kweli kama vile kavunwa kwenye shamba la Mama Fatuma Kimario kule Mbezi Beach....
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Hilo jina hapo juu limenistua. Nilikuwa nataka nikushushi maneno ya laana.
 
Nzowa Godat

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
2,759
794
*nilikua sipendi kabisa kutamka hili mbele za watu haswa kwa *wazee wenye heshima zao, labda kidogo nilikua naweza kuwaambia wanaume wenzangu ambao tunashea siri,Leo hii acha niwe muwazi ukizingatia humu akuna anayeninifahamu na hilo hapo juu sio jina langu halisi.Nawaambieni kweli ila msinione Mtu wa ajabujamani,mnichukulie kama kijana mwenzenu,msininyayapae kwani kila mtu na starehe yake.Nawambieni kweli mm mpenzi *saaaaaaaaaaaaaaaaaaana wa mtandao wa simu za mkononi wa Tigo..Sbb kubwa mtandao wao ni rahisi na umeenea alafu nlianza kuutumia tangu enzi zile mshamba wa simu. hata hapa nilipo natumia modem yao.Napia matangazo yao redoni na kwenye tv yananivutia ..Je ww unapenda mtandao gani?

Bahati yako, ningekuwa mhehe ningesema, VAKUTUMITE?!!
 
ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
3,366
3,057
Naona wewe bado hujapata spidi zaidi,kasi zaidi,kaazi ni kwaakooo
 
Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,914
1,115
Unakila sababu ya kuipenda tigo maana, ukiangalia nyuma umetanuka zaidi na unazidi kutanuka zaidi na zaidi, hata jirani yako anakutwangia tu anapotaka.
 
e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
562
hv mie najuiliza kwanin walitungia neno tigo? Eti anayejua anijuze kwanini zigo ilitungiwa neno tigo?
 
BatteryLow

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
447
149
mchapo uliuanza vizuri lakini ukaiharibu kumalizia. Inawezekana kuna kitu ulishtuka kwa sababu nilishagundua ulikokuwa unaelekea.
 
yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,467
1,274
Sasa hv ukitaka mara 1 tigo wanakupa mara2 yake hadi uckie raha. he heeee!
 
Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
15,044
5,046
Mmmmh, hebu subiri kama vile sijakuelewa, ngoja nimalizie kitimoto yangu maana tamu kweli kama vile kavunwa kwenye shamba la Mama Fatuma Kimario kule Mbezi Beach....

Elli una maana yule D.C. Taratibu kaka BAKWATA wasikutolee tamko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom