Acharya institute of management studies

+255 754 847 936
Global Education Placement
Raha towers.
Mtaa wa Bibi titi na Azikiwe
 
Je kuna mtu ana information zozote kuhusu chuo cha Acharya? Nataka kuapply for a course na nimeambiwa wana local agent hapa bongo. Anyone?

Chuo " ACHARYA INSTITUTE OF MANAGEMENT & SCIENCE

URL; www.acharyaims.ac.in
email: admissions@acharyaims.ac.in

Tel: +91 80 6567 9112

Fax: +91 80 2839 1533
Information zoote utazipata kwenye website yao kutumia maagent mara nyingi lazima wakutoe pesa ambazo hapo ulipokaa unaweza kupata infor zoote na kuapply hapo hapo.Ukiwa na maswali ni vema ukawandikia email direct Acharya.
 
Mie ulinifanya niende kuchungulia kwenye site yao nikione. Mwishowe nakabakia na conclusion moyoni ya bora kusoma Tanzania kuliko hapo. Mfano; hebu mcheki huyo program manager wa MBA
 
Kuna agent wa chuo cha Acharya Institute of Management studies cha Bangalore India ambaye yupo Dare es salaam na hatozi pesa yoyote. Unaweza kuwasiliana nae katika saa za kazi , Mrs Morris simu namba 0786348885 . Pia anaweza kukupatia fee structure na application form.
 
Ahsante Ambwene kwa hii info
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom