Achana na xender, sasa tumia njia hii?

Wakubwa naombeni msaada kidogo, simu yangu hii Google Playstore siwezi kudownload application yoyote wala ku update shida itakuwa nini? ina kama miezi miwili sielewi
 
Jamaa unachekesha sana, kama ishu ni security.. anything comes from google is a bitch.

Google apps zote zina synchronise data zako zote into one thing. Mfano mdogo ukiwa FB utaona most of recommended friends ni watu kwenye contact zako. Kuna nyuzi na comments nyingi about this mada.
Chakufanya labda u disable all google apps and mostly GOOGLE PLAY SERVICES. Hii ndo baba lao ukisha i disable hii apps zote za google zinashindwa kufanya kazi effectively..

Anyway mada ni kuhusu xender.
 
Wakubwa naombeni msaada kidogo, simu yangu hii Google Playstore siwezi kudownload application yoyote wala ku update shida itakuwa nini? ina kama miezi miwili sielewi
Short and clear nenda setting ya tecno yako tafuta Apps na huko tafuta google play service na ukabofye storage na then clear data na fanya hivyo kwa google play store. Baada ya hapo nenda google play store yako na log in kama itakupa option hii.
 
Haiwezekani app yoyote ya wifi kuwa na speed kushinda USB, unless unatumia tech za miaka 20 iliopita.

Usb 3.0 ni 5gbps, usb 3. 1 ni inahamisha 10Gbps ,usb 3.2 inahamisha 20gbps na usb 4 ni 40gb (5GBps). Assume hata una usb 3.1 ina maana utahamisha movie nzima ya 720p kwa Chini ya sekunde 1.

Wifi ya kisasa kabisa yaani wifi 6E kwa simu inagonga

Haiwezekani app yoyote ya wifi kuwa na speed kushinda USB, unless unatumia tech za miaka 20 iliopita.

Usb 3.0 ni 5gbps, usb 3. 1 ni inahamisha 10Gbps ,usb 3.2 inahamisha 20gbps na usb 4 ni 40gb (5GBps). Assume hata una usb 3.1 ina maana utahamisha movie nzima ya 720p kwa Chini ya sekunde 1.

Wifi ya kisasa kabisa yaani wifi 6E kwa simu inagonga 3.6Gbps.
Kila siku najifunza toka kwako
 
Hii ikoje mkuu
Sasa hivi imebadilika imekua quickshare, ni Kama bluetooth unavuta pazia la notification unaiweka on na simu nyengine unafanya hivyo hivyo halafu unachagua file unalotaka kutuma then unashare unachagua nearby share, itakuja jina la mtu unaemtumia unachagua file linaenda.
 
XENDER ni mtambo mwingine usiufananishe na iyo takataka
Xender inaspidi FBG inaspidi ndogo
Unaweza kuhamisha vitu kutoka kwenye simu to PC kwa spidi kali sana kuliko ata USB,FBG huwezi ata kuconnect na PC ata online tu sembuse offline kama xender?
Xender unaweza kubadilishana mafaili kati ya IOS na Android FBG huwezi
FBG feature yake nzuri ni ya kufuta duplicate na unused files tu ila usiilinganishe na XENDER utachekwa mchana kweupe
Nlikua nasubiria comment ya maana kama hii ..huyo aliyeleta huu uzi apuuzwe tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom