Achana na mapungufu yake....ebu tujaribu kumwangalia upande wake wapili..kiuzuri...

In fact huyu jamaa, kajua namna ya Kula na kipofu.

Alitengeneza mazingira ambayo leo hii yanamfanya hata Rizione awe mdogo kwa mchizi.

Naaa, Ujanja aloufanya, utamfanya aendelee kua juu ,hadi pale Rais wa nchi atakapokua sio Jpm. ,sio nje ya ccm .

Kinyume nahapo. Jamaa atakua juu sana tuu
 
Yule ni kubebwa tu hamna cha maana mtu mwenye akili anaweza kuiga kutoka kwake zaidi ya unafiki, dharau, majigambo, wizi na hata uuaji. Inshort ni kibaraka ila hajapitia njia sahihi kufika hapo alipo

Lakini ndo kaisha toboa hivyo.....
What people care is the end result....what you give them or show them....njia yako kaa nayo mwenyewe.

Life is so unfair at time....niki relate na hii
Issue na nilipokua namaliza kidato cha nne.....

Yani nilikua very faithful na mbaka sasa nipo hivyo

No chabo na what.....

Watu wakaeka maformation ya haja....wakachabo balaa...

Matokeo yanatoka.....
Wamepiga balaaa.....

Mwisho walikua named the smartest in the classroom....ndio nilibukua......ila wale jamaa na formation ya chabo yao walibukua kuliko....

Ndo hivyo sasa....no one cared walichabo....ila ndo walishakuaga magenius wa darasa....

Same way katika haya maisha......

Njia doesn’t matter what matters is the result/ what you bring to the table .
Ukweli mchungu.
 
Kweli kabisa kwa upande mwingine jamaa ni mfano wa kuigwa.

Tumtukane, tumsakame. Lakini katuacha wengi mno mbali na kumfikia ni ngumu. Na hiyo hiyo zero yake.
Mkubali sasa hata wale vyeti feki waliotumbuliwa kiuonevu ndiyo wamelifikisha taifa hapa lilipo. Kumbukeni wengine walikuwa wamebakiza miezi tu kufikia kustaafu. Na walikuwa wazuri pengine kuliko mnaemsifu.

Zoezi lile lilikuwa la kibaguzi liliwaacha wapendwa na vyombo vya dola
 
Lakini ndo kaisha toboa hivyo.....
What people care is the end result....what you give them or show them....njia yako kaa nayo mwenyewe.

Life is so unfair at time....niki relate na hii
Issue na nilipokua namaliza kidato cha nne.....

Yani nilikua very faithful na mbaka sasa nipo hivyo

No chabo na what.....

Watu wakaeka maformation ya haja....wakachabo balaa...

Matokeo yanatoka.....
Wamepiga balaaa.....

Mwisho walikua named the smartest in the classroom....ndio nilibukua......ila wale jamaa na formation ya chabo yao walibukua kuliko....

Ndo hivyo sasa....no one cared walichabo....ila ndo walishakuaga magenius wa darasa....

Same way katika haya maisha......

Njia doesn’t matter what matters is the result/ what you bring to the table .
Ukweli mchungu.
Usitake kuonyesha upungufu wako wa kufikiri, kwa hiyo kwako ww unashindwa kuelewa madhara ya wizi wa mali za umma kwa jamii kiujumla,

kwako ww jambazi anayeua ili apate mali ni sawa ilimradi tu afanikiwe, kwako ww uko radhi kugeuzwa nyuma ili mradi tu upate mafanikio kwa kuhongwa..

kwako ww uko radhi kuiaminisha jamii kwamba haijalishi ni njia gani itapitia ilimradi ufanikiwe...

kwako ww huelewi kuna sheria za nchi ambazo kwa matendo ya makonda endapo zikifuatwa kwa sasa angekuwa anaozea jela..
 
“Life is not fair get used to it”.....
At the end utakubali tu amekupita vitu vingi.....
Na miaka Mia mbele vitukuu vyako vitamsoma kwenye historia.....
So get used to that hata kama ukubaliani nae.....
Usipanic ni maisha tu.
 
Kuna mamia na maelfu wenye mafanikio zaidi yake kama ambavyo mm na ww pia kuna maelfu wanatamani kufikia mafanikio yetu, na mafanikio hayaigwi ila watu huweza kuiga njia alizopitia aliyefanikiwa.

So inshu hapa siyo kufanikiwa kwake, inshu ni hilo la ww kusema anainspire, swali langu kwako likaja ni lipi hasa ambalo ni positive unaweza iga kutoka kwake!! umekosa majibu
 
Mkuu ebu ungesoma vizuri nilivyoanza hiyo post....

“Kama haya mambo yanayosemwa ni ukweli.......”

Ukute mambo niliyoyasikia mimi ni tofauti na wewe na ndo maana tunapishana viswahili.....

Mwisho wa siku maisha ni 69 inategemea umesimama angle gani kama anani inspire Mimi sio lazima awe inspiration kwako.
 
mm ninayojua kutoka kwake ambayo hata ww unahakika nayo ni:

mwizi wa mali za umma, kwa kipato chake na mali anazomiliki ni mbingu na ardhi,

anatumia nafasi yake ya ukuu wa mkoa kukandamiza wengine, utakumbuka alivyovyamia clouds.

Hana vyeti halali vya kitaaluma, kwa sheria za nchi ni kosa na alipaswa kuwa jela mpk muda huu..

Hayo ni makubwa achana na mlolongo wa madogomadogo, ambayo hayaitaji kuwa na PhD kufahamu kuwa kiongozi hapaswi kuwa na hizo sifa...over
 
Kiukweli mara ya kwanza namsikia huyu mtu ilikua kwenye mambo ya vyeti....na ukizingatia mimi sio mtu wa Siasa...sema ile ishu ilivuma sana....toka hapo nilikua interested kumfatilia.

Kama mambo yanayosemwa ni ukweli...Basi huyu mtu alikua determine kufika mbali kwa vyovyote vile......

Inaonekana alipigana sana.....

Kwanini nasema ni inspiration....

Ni mtu ambae alikataa kuishi kwenye comfort zone.....

Bila kujali maneno ya watu...anatoboa....

Na sisi ambao atupendi kusemwa ngoja tuendelee kukaa nyuma ya ID fake....wakati the real risk takers kama ao wakiendelea kutusua maisha.....

Nilichojifunza.....

Kama unataka kwenda on top...
Find a topper
Find what he hates or scared
And help him/her coz it’s not your business but you are taking care of theirs....
When they are happy...you will be happy.

“Choose a friend to sacrifice for wisely”.
Hata hao wana ID fake tu licha yao ya halali mfano lemutuz ana ID yake tena verified lakin ana ID fake tano nazozifaham
 
mm ninayojua kutoka kwake ambayo hata ww unahakika nayo ni:

mwizi wa mali za umma, kwa kipato chake na mali anazomiliki ni mbingu na ardhi,

anatumia nafasi yake ya ukuu wa mkoa kukandamiza wengine, utakumbuka alivyovyamia clouds.

Hana vyeti halali vya kitaaluma, kwa sheria za nchi ni kosa na alipaswa kuwa jela mpk muda huu..

Hayo ni makubwa achana na mlolongo wa madogomadogo, ambayo hayaitaji kuwa na PhD kufahamu kuwa kiongozi hapaswi kuwa na hizo sifa...over

Na mimi nilichosikia na Sina uhakika nacho....he is from zero to hero.....na kwasasa anaponda maisha.......
iyo ndo reality.....tunaojikuta wasomi atuna confidence ya kumface......

Then he is the smartest hapa......sisi tuendelee kumjua na kulalamika hivyo hivyo.
 
Mimi siku zote nasemaga chanzo cha chuki dhidi ya RC wetu ni wivu tu, hakuna lingine, jamani aliye juu tumfuate huko huko, kuleta fitna ili ashushwe hakusaidi na wala hakujengi.
 
Back
Top Bottom