Achana na mapungufu yake....ebu tujaribu kumwangalia upande wake wapili..kiuzuri...

Digital Marketer

Senior Member
May 1, 2019
112
250
Kiukweli mara ya kwanza namsikia huyu mtu ilikua kwenye mambo ya vyeti....na ukizingatia mimi sio mtu wa Siasa...sema ile ishu ilivuma sana....toka hapo nilikua interested kumfatilia.

Kama mambo yanayosemwa ni ukweli...Basi huyu mtu alikua determine kufika mbali kwa vyovyote vile......

Inaonekana alipigana sana.....

Kwanini nasema ni inspiration....

Ni mtu ambae alikataa kuishi kwenye comfort zone.....

Bila kujali maneno ya watu...anatoboa....

Na sisi ambao atupendi kusemwa ngoja tuendelee kukaa nyuma ya ID fake....wakati the real risk takers kama ao wakiendelea kutusua maisha.....

Nilichojifunza.....

Kama unataka kwenda on top...
Find a topper
Find what he hates or scared
And help him/her coz it’s not your business but you are taking care of theirs....
When they are happy...you will be happy.

“Choose a friend to sacrifice for wisely”.
 
RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
16,335
2,000
Kweli kabisa kwa upande mwingine jamaa ni mfano wa kuigwa.

Tumtukane, tumsakame. Lakini katuacha wengi mno mbali na kumfikia ni ngumu. Na hiyo hiyo zero yake.

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,488
2,000
Kill others for him to make him happy
When he is happy...you are happy...

Slap even an old man like kingu for him to be happy..so as you can be on top!
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
15,281
2,000
Maisha ya sasa yanataka ujanja zaidi kuliko hata ukubwa wa elimu.
Hata hivyo elimu inakuwa tamu zaid ukiweza kuichanganya na ujanja ujanja.
Kama una nafasi ya kuongeza elimu wewe ongeza.
yani saivi wajanja wana enjoy sana, gari alizonazo bashite ni wachache wanamiliki
 
Digital Marketer

Senior Member
May 1, 2019
112
250
Kill others for him to make him happy
When he is happy...you are happy...

Slap even an old man like kingu for him to be happy..so as you can be on top!

My dear friend....ukweli unaouma ni kwamba....afadhali yeye kidogo maovu yake tunajifanya tunayajua....what of those ambao tunawakumbatia kila siku....afu atujui hata moja lao....

It’s better a person ambae anakuu kwa mbele na unamuona kuliko yule ambae anakuchoma kwa nyuma mbele anakuchekea....

Afu the worse part ukute yeye ni punda tu....
The players are on the other side watching....

This game aijawai mwacha mtu Salaam.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,737
2,000
Kiukweli mara ya kwanza namsikia huyu mtu ilikua kwenye mambo ya vyeti....na ukizingatia mimi sio mtu wa Siasa...sema ile ishu ilivuma sana....toka hapo nilikua interested kumfatilia.

Kama mambo yanayosemwa ni ukweli...Basi huyu mtu alikua determine kufika mbali kwa vyovyote vile......

Inaonekana alipigana sana.....

Kwanini nasema ni inspiration....

Ni mtu ambae alikataa kuishi kwenye comfort zone.....

Bila kujali maneno ya watu...anatoboa....

Na sisi ambao atupendi kusemwa ngoja tuendelee kukaa nyuma ya ID fake....wakati the real risk takers kama ao wakiendelea kutusua maisha.....

Nilichojifunza.....

Kama unataka kwenda on top...
Find a topper
Find what he hates or scared
And help him/her coz it’s not your business but you are taking care of theirs....
When they are happy...you will be happy.

“Choose a friend to sacrifice for wisely”.
Kwa kweli kajua udhaifu wa aliye juu, na kamshika mateka.
 
MAGO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,199

utakuwa kwenye kundi la wanafiki... fight your own fight
 
  • Thanks
Reactions: BAK

MAGO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,199
2,000
Kweli kabisa kwa upande mwingine jamaa ni mfano wa kuigwa.

Tumtukane, tumsakame. Lakini katuacha wengi mno mbali na kumfikia ni ngumu. Na hiyo hiyo zero yake.
Yule ni kubebwa tu hamna cha maana mtu mwenye akili anaweza kuiga kutoka kwake zaidi ya unafiki, dharau, majigambo, wizi na hata uuaji. Inshort ni kibaraka ila hajapitia njia sahihi kufika hapo alipo
 
MAGO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,199
2,000

Mkuu haya mambo ayaitaji hasira.......
Wewe na kutokua mnafiki umefikia wapi ???
Ebu acha hizo........
Huu ni uzi tu.....
Sasa tuambie vitu gani positive unaweza iga kwa Makonda... ama njia zipi za makonda zinaweza kukufanya ww ufanikiwe!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

lemone grass

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
291
500
Maisha ya sasa yanataka ujanja zaidi kuliko hata ukubwa wa elimu.
Hata hivyo elimu inakuwa tamu zaid ukiweza kuichanganya na ujanja ujanja.
Kama una nafasi ya kuongeza elimu wewe ongeza.
Nimeipenda hii, sana.. Hili binafsi nimeliona..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom