"Acha Waisome Namba" umegeuka kuwa Wimbo wa faraja?


MAKA Jr

MAKA Jr

Senior Member
Joined
Nov 17, 2016
Messages
135
Likes
72
Points
45
Age
34
MAKA Jr

MAKA Jr

Senior Member
Joined Nov 17, 2016
135 72 45
Nimepita mitaani nikakuta wimbo "Acha Waisome Namba" unapigwa lakini nimesahau msanii wake. Na kilichonishangaza kwao huu wimbo hauna ujumbe mwingine zaidi ya kuwaletea faraja, yaani wamekaa barabarani hawana kitu na wanachokifanya ni 'Kusoma Namba tu'!
 

Forum statistics

Threads 1,273,313
Members 490,351
Posts 30,477,748