kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,809
Hakuna namna, kama wew unategemea internet katika kufanya kazi zako huna namna ya kuwakwepa voda, maan mitandao mingine hakuna kitu, slow sana. Airtel wana bando za maana sana ila internet ipo slow sana haifai kabisa. Voda endeleeni kutamba, hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app