ACHA UKWELI UWE NI UKWELI MTUPU PALIPO NA UKWELI UONGO HUJITENGA

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
MUHIMBILI YA KIKWETE NA MUHIMBILI YA MAGUFULI.jpg

HONGERA RAIS MUOKOZI WA WANYONGE DOCTOR MAGUFULI OYEEE
 
Ila bado kuna misukule ya saccos moja wanasema tumerudi nyuma kwenye maendeleo.Heko magufuli kazi ya mikono yako inaonekana tukinyamaza hata mawe yatakupongeza.
 
mkuu jaribu kuweka zile makala zako za afya kwamba unatibu ukimwi na kisukari! au wateja humu hamna tena?
 
Unafiki ni ugonjwa mbaya sana, na ndio ugonjwa mkubwa unaoliangamiza Taifa kwa kasi sana, na mbaya zaidi Tiba bado haijapatikana
 
Back
Top Bottom