Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Wakuu. Poleni na kimbembe cha January!
Turudi kwenye mada
Hata kama unadaiwa, hata kama upo busy kiasi gani, hata kama mtu akikupigia ukiwa chooni, iwe namba ngeni au unayoijua, usiache kupokea simu.
Kuna simu hazipigagi zaidi ya mara moja, na hizo mara nyingi ndo huwa zenye ramani au mipango mizuri ya maisha.
Namba ngeni ikikupigia please pokea, hata kama mtu anakudai we mpokelee tu. Huyohuyo anakudai anaweza kukupigia simu akakupa deal au umsaidie kitu ambacho kipo kwenye capacity yako kabisa.
Unaweza kupigiwa simu ili uepukane na hatari fulani. Unaweza kupigiwa simu kuna uteuzi au dili la pesa ndefu.
Tujenge tabia ya kupokea simu wakati wote.
Na ukikuta missed calls, please respond.
Ni hayo tu.
Wasalaam.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app