Acha niseme hii ni Aibu na kukata tamaa

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,136
4,298
Siku zote ukweli huwa haukubaliki katika jamii hasa ya kizazi hiki ambacho kila mmoja yupo tayari kusema mapungufu ya mwenzake na siyo yake. Haiwezekani mambo yaliyohubiriwa miaka yote kuwa ni maovu na waovu hao kutajwa kwa uovu huo eti leo yawe yamesahaulika hivi hivi ?

Ndio sisi ni panzi na sisi ni kuku,subirini vitimbwi vya mwewe.
 
umeniacha njiapanda! lkn nahisi utakuwa unazungumzia siasa-mambo ya propaganda!
 
Siku zote ukweli huwa haukubaliki katika jamii hasa ya kizazi hiki ambacho kila mmoja yupo tayari kusema mapungufu ya mwenzake na siyo yake.
haiwezekani mambo yaliyohubiriwa miaka yote kuwa ni maovu na waovu hao kutajwa kwa uovu huo eti leo yawe yamesahaulika hivi hivi ?
Ndio sisi ni panzi na sisi ni kuku,subirini vitimbwi vya mwewe.
Mkuu usihofu,tumeshajikatia tamaa sasa tunaishi kwa ndoto tu. Mwewe akituchukua anakuwa ametusaidia sana,historia ya marehemu itasomeka kuwa alidakwa na mwewe baada ya mapambano makali! Vinginevyo ingesomeka kuwa alikufa kwa njaa sababu ya upumbavu na uvivu wake,
 
Kweli kabisa.
 
Hata malaika wa bwana kule mbinguni wanalia juu ya matendo yako mabaya lakini siku utakapojuta nakukiri matendo yako na kuingia upande wa mema basi naamini malaika watafurahi lakini wale mashetani uliowaacha yatapiga sana kelele ....
 
Back
Top Bottom