Acha kulala anza kusali usiku huu kurudisha milki ,ndoa yako!!!

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Wana wa misri walitoka usiku mussa akamwambia bwana usipokuwa nami sitokimahaali hapa
nawe usiku wa leo amka uanze kupiga majeshi yanakuzunguka pengine umekuwa maskini
unaishia kusema aaha familia yetu iko hivi hivi nanai kakwambia pengine abba na mamaako walisemewa
vibaya na watu na wewe umebebea laana zao unakaa kkimya usiku wa leo mwambie mungu
kama mussa alivyoondoka usku nami usiku huu ninatangaza usku wa kutoka kwenye ajira, kibiashara,
kwenye ndoa yangu,uzao wangu tangaza mahitaji yako usiku usilale nduguu aijalishi utachukua dakika ngapi
lakini zinakupa uheri na furaha ya maisha milele


wapo watu wanateseka kwenye ndoa ukifanya hist mapping unakuta akuna wazazi wao waliokaa pamoja
wote wanatengana ujui sababu we unakaa mwezi na nusu unaanza kuitisha kikao cha usuluhisho amua sasa hama
amia kwa yesu anza kupiga vita usiku nakwambia jifunze maombi ya usiku shetna mwenyewe usikundio saa yake
na kama uamini kaama una mtotomchanga sikiliza usiku anavyolia sio kwamba anitaji maziwa anaona jamaa wanatka

kumuadhibu wewe na yeye anaamua kuku allert lakinina dhambi zako unakimbilia kumpa maji mtoto anza kusali
kemea mapepo mwambie mungu akuna kona shetan atakayonigusa...dhambi hikindicho kivutio cha shida na laana za watu wengi nasema ujue ukiweza kuacha dhambi hata sala za ko mungu anakuwa karibu nazo

ubarikiwe nausiku mwema
 
Ameni mpendwa
mi nasema kama alaji uendi kucheza ...club uendi mkesha uendi hata kufunga bin adamu wewe ufungi uko wapi iko wazi bora uwe moto ama bardii kuliko kuwa uvuguvugu nenda makumbusho kaangalie wameamua kula maisha wewe ukeshichurch,yaani upo tu alaji uimbi ,,praise n worship aupo uko wapi
 
asante ndugu. Si ndoa tu na hata katika idara nyingine za maisha mfano,elimi,biashara,kazi,afya.
Na tusisahau kusali kwa ajili ya taifa letu.
 
Ni kweli kaka tena inashauriwa kuomba usiku wa manane kwan husikiliza maombi zaid ya wale wakeshao wakiomba katika roho na kweli.KESHENI MKIOMBA KWANI HAMJUI SAA WALA SIKU ATAKAYOKUJA.............! AMEN!
 
Uoni aibu akuna anaekujibu!!ningekuwa miminingesign off
 
Kivipi ni Mungu?
<br />
<br />
kama wewe ni Mkristo na hujapitia sunday school au mafundisho ya ubarikio ukiwa mdogo huwez kulijua hili kiurahisi na kama huna ,misingi ya Biblia ndio kabisa itakuwa ngumu,ila kama u mwislamu sishangai kuuliza hivyo.
 
Nilimwambia atotokea wa kujibishana na wewe ila atakaemsaidia mi nashauri hama usiangalie rangi njoo huku
uonje utamu wa yesu sio unacheza tu nyimbo ujui ina maana gani unafanyika msukule wa kanda za dini toka huko
 
Kemea pepo linaloitwa Jamii Forum, hili litasambalatisha ndoa nyingi sana, haiwezekani usiku wote huu badala ya kumpa joto mumeo/ mkeo wewe mimacho imekutoka tu kwenye computer.
JF adiction will destroy unnumbered marriage.
 
100%mwanadamu 100%Mungu,soma biblia uielewe, usisome kwa ajili ya kwenda kubishana na mtu wala usiishie kwenye mihadhara tu,alliwaambia kabla ulimwengu kuwapo yeye alikuwapo upo?????shalom.
 
"kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa" mapambano na shetani si lelemama otherwise utadhani mikosi inakutokea tu naturally kumbe mapepo tu!
 
100%mwanadamu 100%Mungu,soma biblia uielewe, usisome kwa ajili ya kwenda kubishana na mtu wala usiishie kwenye mihadhara tu,alliwaambia kabla ulimwengu kuwapo yeye alikuwapo upo?????shalom.

Kama alikuwa Mungu, mbona mnasema Amekufa? Mungu anakufa?
 
100%mwanadamu 100%Mungu,soma biblia uielewe, usisome kwa ajili ya kwenda kubishana na mtu wala usiishie kwenye mihadhara tu,alliwaambia kabla ulimwengu kuwapo yeye alikuwapo upo?????shalom.
Munajifanya mumesoma lakini bado unaruhusu imani kama hizi vichwani mwenu! Mwanga hauwezi kuwa giza na vice versa! Mungu hatakaa auvae ubinadamu even for a second! He ceases to be God!
 
Kama alikuwa Mungu, mbona mnasema Amekufa? Mungu anakufa?
<br />
<br />
Hivi ile nafasi iliyoachwa pembeni ya kaburi Mohamad ni kwa ajili ya kumzika nani kwa mujibu wa imani yako?
Hivi koran ilitokaje kwa Mungu asiye kuwa na mikono ya kuandikia? Alimwagizaje mohamed wakati hana ulimi wala sauti? Mohamed alijuaje kwamba imetoka kwa Mungu?
Nina mashaka na uislam wako. Waislam wanaoijui korani na wenye imani thabiti wanaheshimu imani za watu wengine.
 
Munajifanya mumesoma lakini bado unaruhusu imani kama hizi vichwani mwenu! Mwanga hauwezi kuwa giza na vice versa! Mungu hatakaa auvae ubinadamu even for a second! He ceases to be God!

Wakristo ndivyo wanavyoamini, kuwa Yesu ni Mungu kwa sababu maandiko mengi ndivyo yanavyosema. Hapa anayetaka kupinga kuwa Yesu si Mungu aseme kuwa biblia siyo kitabu kilichotoka kwa Mungu; hapo anaweza kueleweka. Maswali haya hayajaanza leo, yalianza tangu enzi hizo, na kwa taarifa ni kwamba, kuuawa kwake kulitokana na yeye kujifanya kuwa tofauti na wanadamu wengine na kwamba kabla Musa hajakuwepo yeye tayari alikuwako. Tusome andiko mojawapo lenye utata kama wengi hata leo bado wanauona; [Yohana10:32-33 Yesu akajibu, Kazi njema nyingi nimewaonesha........kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe? Wayahudi wakamjibu, "KWA AJILI YA KAZI NJEMA HATUKUPIGI KWA MAWE; BALI KWA KUKUFURU, NA KWA SABABU WEWE ULIYE MWANADAMU WAJIFANYA MWENYEWE U MUNGU."] Ndiyo maana tunakupiga kwa mawe, [hapa nimeongeza].
 
Back
Top Bottom