Acha kuigiza ishi ktk uhalisia

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Ndoa nyingi za vijana huvunjika mapema sababu ya kuishi fake life kipindi cha Uchumba.... We demu kila akisema nakuja geto fridge imejaa.... inamaanisha we hakuna siku huna pesa?... Akisema tukutane kila mtu msafiii kajiremba inamaana hakuna siku unakuwa rafu... Mkikutana full kunukia... Jamani hamna vikwapa nyie... Hujawahi hata kujamb... mbele ya mchumba wako !!!!... Mkilala kila mmoja analala kwa tahadhari asikorome asiache mdomo wazi... Duuuh nyie mmekuwa nyoka... Mkila chakula kila mtu hula... Chips, burger, sijui vininini mhhh jamani hamuwezi kula samaki wa kukaaanga na kachumbari...... Sasa mmefunga ndoa... Kila siku mpo wote mtaweza kumaintain yale ya Uchumba... Thubutuu.... Hapo ndipo unapo anza kumboa mwenzio..... Stop faking life kuleni
-kande
-matowolwa
-kuleni Unga (aah sorry ugali )
-kuleni ndizi na viazi choma
-wakati mwingine shindieni mizambarau na machenza
-togwa na uji mkavu visikosekane
-kama ni wa mtwara samaki mchanga wawepo
ni ushauri ili kuokoa jahazi
 
Back
Top Bottom