Acha kasumba,kuwa kama refa

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,160
3,258
REFA AKITOA KADI ANAANDIKA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU ILA WEWE NA MIMI TUKITO Pesa TUNAANDIKA KICHWANI..

Hapa leo ngoja tuchanane ukweli, Wengi wetu hatuna utamaduni wa Kurecord kiasi cha Fedha kwenye karatasi ya kumbukumbu tunachotoa na hata tunachoingiza. Hii imekua kasumba yetu na huwa tunaamini kichwa kitahifadhi izo kumbukumbu.

Hivi kichwa kinamangapi yakuhifadhi. Kichwa kihifadhi namba ya simu ya mpenzi wako, kichwa icho icho kihifadhi kumbukumbu ya watu wanaokudai alafu kichwa ichoicho unakipa kazi ya kuhifadhi kumbukumbu ya fedha unazoiingiza na Kutoa...

Refa anatumia dakika 90 uwanjani ila hategemei kichwa kuweka kumbukumbu ya kadi badala yake anahifadhi kwenye karatasi au kakitabu kidogo. Wewe unatumia siku 365 yaani mwaka mzima alafu ukitoa pesa unahifadhi kichwani na sio kwenye kitabu au karatasi. Haahaahaa Unafeli Mjomba.

Hii kasumba ya kukipa kichwa majukumu ya kutunza kumbukumbu za pesa zinazoingia na kutoka inatufanya tusijue vipato vyetu vya mwezi au
Mwaka. Itatufanya tusijue tumetumia sh ngapi kwa mwez au mwaka.

Ni aibu unakutana na kijana unamuuliza wewe kipato chako cha mwezi ni sh ngapi anakujibu mimi bado sijaajiriwa ivyo sijui kipato changu. Yani sijui anajua kipato ni mshahara tuu? Sasa zile pesa anazoomba na kununulia simu,nguo na vocha ni nini je na zile pesa za madili yake zile zitahitwaje?

Shida iliyopo ni kuwa na utamaduni wakutokuweka kumbukumbu katika karatasi ya kile kinachoingia na kutoka, eti REFA AKITOA KADI ANAANDIKA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU ILA WEWE NA MIMI TUKITO Pesa TUNAANDIKA KICHWANI..

Hapa leo ngoja tuchanane ukweli, Wengi wetu hatuna utamaduni wa Kurecord kiasi cha Fedha kwenye karatasi ya kumbukumbu tunachotoa na hata tunachoingiza. Hii imekua kasumba yetu na huwa tunaamini kichwa kitahifadhi izo kumbukumbu.

Hivi kichwa kinamangapi yakuhifadhi. Kichwa kihifadhi namba ya simu ya mpenzi wako, kichwa icho icho kihifadhi kumbukumbu ya watu wanaokudai alafu kichwa ichoicho unakipa kazi ya kuhifadhi kumbukumbu ya fedha unazoiingiza na Kutoa...

Refa anatumia dakika 90 uwanjani ila hategemei kichwa kuweka kumbukumbu ya kadi badala yake anahifadhi kwenye karatasi au kakitabu kidogo. Wewe unatumia siku 365 yaani mwaka mzima alafu ukitoa pesa unahifadhi kichwani na sio kwenye kitabu au karatasi. Haahaahaa Unafeli Mjomba.

Hii kasumba ya kukipa kichwa majukumu ya kutunza kumbukumbu za pesa zinazoingia na kutoka inatufanya tusijue vipato vyetu vya mwezi au
Mwaka. Itatufanya tusijue tumetumia sh ngapi kwa mwez au mwaka.

Ni aibu unakutana na kijana unamuuliza wewe kipato chako cha mwezi ni sh ngapi anakujibu mimi bado sijaajiriwa ivyo sijui kipato changu. Yani sijui anajua kipato ni mshahara tuu? Sasa zile pesa anazoomba na kununulia simu,nguo na vocha ni nini je na zile pesa za madili yake zile zitahitwaje?

Shida iliyopo ni kuwa na utamaduni wakutokuweka kumbukumbu katika karatasi ya kile kinachoingia na kutoka, eti tunakiachia kichwa pekeyake... Kichwa icho icho kinachowaza disco na beach ndo kikakumbuke wiki iliyopita ulipewa sh ngapi na ulitoa sh ngapi? Haahaahaa embu punguza utani bana....

Kwanini usiwe kama Refa tuu.. Kila akitoa kadi anaandika kwenye kakitabu chake.... Mimi nimeamua kuwa kama Refa, Wewe je?

[HASHTAG]#Zingo[/HASHTAG] The Greatest kichwa pekeyake... Kichwa icho icho kinachowaza disco na beach ndo kikakumbuke wiki iliyopita ulipewa sh ngapi na ulitoa sh ngapi? Haahaahaa embu punguza utani bana....

Kwanini usiwe kama Refa tuu.. Kila akitoa kadi anaandika kwenye kakitabu chake.... Mimi nimeamua kuwa kama Refa, Wewe je?

Credit:zingo
 
Kweli mkuu, wanasema mali bila daftari hupotea bila habari..

Lazima utunze kumbukumbu zako muhimu
 
Ni vyema kuwa kama refa lakini kwa wasio na ajira au biashara yoyote nadhani hawawezi kujua kipato chao halisi kwa mwezi isipokuwa matumizi yao
Mfano kwenye siku 365.5 hakuna deal iliyotiki ukapata mathalani 320k sasa mwaka unaofuata no deal ukaingiza 200k
Hapo mkuu utang'amua vipi kipato chako???
ila ukizitumia utajua maana ni rahisi 320k +200k
Matumizi unayajua kirahisi kuliko mapato maana kupata bila kuwa na kitega mapato ni utamalizia mkuu
 
Back
Top Bottom