Acha hii tabia za kutuma meseji kwa watu usiowajua

Watu wanadhani online business ni nyepesi wakati watu wanalipia dollars kusoma Digital marketing na wanakesha asubuhi, mchana jioni kuandaa contents za maana na kujifunza vingi zaidi.

Mtu unakaa na simu unakopi na ku-paste meseji kama hizi then unasubiri wateja.

Safari ni ndefu

Wanajaribu bahati zao mkuu
 
Ndiyo maana naipenda telegram, huku hatuna ku view status afu mtu akikuletea ujinga una block na ku report spam zikifika kadhaa account yake inayeyuka au kila anapotembea anakua anajulikana ni scammer..
 
Back
Top Bottom